Siasa nzito za CHADEMA zaendelea kuimaliza CCM (strategic and scientific politics)

Pole sana. Arusha imekaa na mbunge wa CCM miaka yote 48 ya uhuru. kama wambunge wenu kwa kipindi chote hicho wangekuwa wanahamasisha shughuli za maendeleo basi hiyo Arusha ingekuwa kama Ulaya. Acha kulaghai umma kawatumikie mafisadi tuache sisi tunaohitaji maendeleo tupiganie haki yetu.
HIYO MIAKA 48 WABUNGE WA CCM NDIO WAMEFANIKISHA ARUSHA KUWA JIJI(CITY).KWAKO HAYO SIO MAENDELEO?.Leo Arusha inataka kufanywa jiji la vurugu na mbunge wa CDM.Jiji la Arusha ni makao makuu ya E.A.C kwasababu ya kuvutiwa na maendeleo yake na amani.CDM hili kwao nongwa sera zao tumeziona huko uingereza chini ya CONSERVATIVE party zikifeli mfano sera ya ushoga.Wana ARUSHA hawana MBUNGE bali mahabusu wa kujitakia kifungo.ukweli kwa akili hizi ARUSHA imekwama kimaendeleo kwa miaka 5.
 
CDM juu asiyekubali ni kufiri kwa masaburi na kukataa nyakati.CCM imechoka kama Dume la simba lililozeeka lazima waibuke madume mengine.
 
Back
Top Bottom