Lutala
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 848
- 103
Baada ya Uchaguzi Mkuu, uchangiaji wa mambo ya mapenzi umeshuka kwa asilimia 98. Hata majumbani kwetu muda wa kufanya mapenzi umepungua kwa zaidi ya sailimia 80. Mazungumzo na majadiliano yote yamehamia kwenye siasa. Kwa kweli inapendeza sana kwani maambukizi kwa wiki hili yamepungua kwa aslimia 52