Siasa ni sayansi, Polepole na askofu Gwajima wanaweza kurejea CHADEMA endapo CCM itawatimua

Lakini sitastaajabu endapo askofu Gwajima na ndugu Polepole wataamua kurejea Chadema ili waendelee na siasa.

CCM ni chama kikubwa na wenyewe tupo.

Mungu ni mwema wakati wote!
Ni ngumu hao uliowataja kwenda Upinzani, Kwa mazingira yalivyo inahitaji ngozi ngumu kufanya siasa za Upinzani na uka survive.

Ikumbukwe, mtu kama Gwajima Josephat ni Mfanyabiashara hivyo kwenda kwake upinzani kutahatarisha biashara zake plus kufirisiwa.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Sitashangaa endapo mchakato wa kinidhamu unaoendelea CCM utawatupa nje ya uongozi makada wawili maarufu komredi Polepole na askofu Gwajima

Lakini sitastaajabu endapo askofu Gwajima na ndugu Polepole wataamua kurejea Chadema ili waendelee na siasa.

CCM ni chama kikubwa na wenyewe tupo.

Mungu ni mwema wakati wote!
Ndio AKILI zako Zilipoishia?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hao jamaa kwenda Chadema itakuwa ni haki yao kisheria, kwani moja ya matakwa ya chama cha siasa ili kisajiliwe hakitakiwi kuwa na ubaguzi wa aina yoyote kwa mtu yeyote, wataenda Chadema wapewe kadi za uanachama ila watafute kazi nyingine za kufanya.
Warejee CHADEMA ili waunganishwe kesi za ugaidi dhidi ya CCM.
 
Hao jamaa kwenda Chadema itakuwa ni haki yao kisheria, kwani moja ya matakwa ya chama cha siasa ili kisajiliwe hakitakiwi kuwa na ubaguzi wa aina yoyote kwa mtu yeyote, wataenda Chadema wapewe kadi za uanachama ila watafute kazi nyingine za kufanya.
Kwa hiyo CHADEMA watakuwa radhi kabisa kuwa na watu wanaosimamia legacy ya Magufuli? Chama kuwa na kutumia kanuni (principles & values) zake katika vetting ya wanachama wapya itatafsiriwa kama "ubaguzi"? AU CHADEMA hawana principles and values; wanazoa tu.
 
CCM haina uwezo wa kuwatimua hao wapuuzi sana-sana mtatomasana tu hapo.

Upuuzi wao unasadifu Uccm wao.
 
Hawana lolote hao, nachokiona wataomba msamaha na wawekwe kwenye uangalizi wa chama kwa mwaka 1.

Kuwa CDM si lelemama; unahitaji wito na uikane nafsi yako ili usimamie haki kwa maslahi ya watanzania wote.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Sitashangaa endapo mchakato wa kinidhamu unaoendelea CCM utawatupa nje ya uongozi makada wawili maarufu komredi Polepole na askofu Gwajima.

Lakini sitastaajabu endapo askofu Gwajima na ndugu Polepole wataamua kurejea Chadema ili waendelee na siasa.

CCM ni chama kikubwa na wenyewe tupo.

Mungu ni mwema wakati wote.
Itapendeza maana wakirudi huko wataishia tuu kama walivyoishia akina Membe,Lowasa,Nyalandu and co😆😆😆😆
 
Sijui kwa nini kwenye vyama hivi watu wenye akili huwa hawatakiwi

Mf. Zitto pale Chadema

CCM nao watakuwa wamefanya hichohicho endapo wataamua hivyo

Gwajima ana hoja, badala ajibiwe kwa hoja anajibiwa kwa kutimliwa chama?

Ama kweli, Africa tumelogwa, Yaani mtu hatakiwi kutumia akili zake ispokuwa za kuambiwa peke yake na wazungu?
Acha wamtimue Gwajiboy na siasa zinoge.
 
Itapendeza maana wakirudi huko wataishia tuu kama walivyoishia akina Membe,Lowasa,Nyalandu and co😆😆😆😆
Ndiyo mnajidanganya😆😆😆
Kumbuka Mkapa na JPM hatunaye.
Mzee wa Msoga hauwezi mziki wa Gwajiboy.
Yajayo yanafurahisha,wanaopinga chanjo ni mtaji wa Gwajiboy,wafia dini za Kikristo na Waislamu wengi wapo upande wa Gwajiboy.

Kijijini wanasema ni Magufuli mwingine,ile clip ya nileteeni Gwajima wanaona JPM alikuwa anatangaza mrithi.
Majeruhi wa mama ndani ya CCM ni mtaji wa Gwajiboy.
Wapinga bandari ya bagamoyo,tozo nk hazina ya Gwajiboy.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Sitashangaa endapo mchakato wa kinidhamu unaoendelea CCM utawatupa nje ya uongozi makada wawili maarufu komredi Polepole na askofu Gwajima.

Lakini sitastaajabu endapo askofu Gwajima na ndugu Polepole wataamua kurejea Chadema ili waendelee na siasa.

CCM ni chama kikubwa na wenyewe tupo.

Mungu ni mwema wakati wote.
Chadema kilishakufa. Hawawezi kuhamia upinzani. Kuna chama kina nguvu sana kinaitwa Falsafa za kupigania maslahi ya wanyonge. Chini ya Mama Samia usitegemee afanyr hayo makosa ya kufukuza.
 
Back
Top Bottom