Siasa ni Ajira, kuzuia mikutano ni kunyima kundi fulani ulaji

Kwa hiyo ,tunaweza kuamua kufuata katiba hata kama katiba imeruhusu kitu kisicho na manufaaa?Naomba unijibu hoja zifuatazo:Je kufanya mikutano kila siku kutaweza kuwasaidia wananchi kupata pesa za kujikimu?Je ,mikutano hiyo ,ya siasa itawasaidia vijana kupata ajira?Je kwanini nchi za ulaya vyama vya siasa vinafanya mikutano wakati wa uchaguzi tu?Je ,watanzania wengi wanapenda soga kuliko kufanya kazi?

Wewe unauelewa mdogo Sana wa mambo ya Kisiasa.

Hujui kuwa Siasa hutoa pia Ajira??

Huoni ni Vijana wangapi wameajiriwa kwenye Siasa iwe ni CCM au vyama vya Upinzani?
 
Tofautisha Siasa na hayo mambo mengine...
Kwenye Siasa one mistake one goal...
 
Back
Top Bottom