Siasa ndio kazi ngumu zaidi 2015-2020 ebu angalia!!

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,850
Kazi ya siasa na polisi ndio itakuwa kazi ngumu zaidi ya zote mwaka 2015-2020

1470290991476.jpg

1470291012559.jpg

1470291033098.jpg

1470291047499.jpg

1470291060177.jpg
 
Attachments

  • 1470291070372.jpg
    1470291070372.jpg
    55.3 KB · Views: 68
Serikali hii ya mwendokasi ndo inajipa kazi ngumu ya kuongoza kwa sababu za kukurupuka na kutumia nguvu badala ya akili.
 
Siasa ni rahisi maana una choice ya kufanya kazi ya kipato/biashara au ukapepete mdomo kupinga kila kitu!
 
Siasa ni rahisi maana una choice ya kufanya kazi ya kipato/biashara au ukapepete mdomo kupinga kila kitu!
Aina ya watu ambao wanafikiri nchi ni mali ya familia yako.Siasa huzaa serikali think wise ........Kazi yako ya kipato inapangwa na wanasiasa hao au wanakufilisi watakavyo.Politics lead a country,lead continent and lead the world.Siasa inaendesha nchi,wewe lima nyanya mkuu
 
You will totally be surprised!
 
sasa huu uchochezi, shauri yako, usimlaumu mtu utakuwa ujinga wako mwenyeweNilikuwa sifahamu,kumbe tafsiri mpya ya uchochezi ni mtu kusema ukweli? Hizo ni picha za askari wetu wakifanya mazoezi ya kuilinda ccm na serikali yake,na picha nyingine inaonesha mauwaji ya Mwangosi(R.I.P)na zote ni picha za kweli,uchochezi wa mleta mada upo wapi hapo?
 
Back
Top Bottom