Siasa: Nape kutoka Vuvuzela kuwa Shujaa wa Wapinzani

Hajawa na haitakaa awe shujaa wa upinzani. Mfano wa shujaa wa upinzani ni Tundu Lisu a.k.a Rais, Godbles Lema a.k.a Mandela wa TZ, Ben Saa8 ambaye inadaiwa alipotezwa kwa msaada Daudi A.B

simply ifahamike kuwa mazingira anayoyapitia saa8 hayatawaacha salama. Kiburi cha Daudi A.B sio bure, anajua siri alizomfichia mpiga push-up.
 
Siasa hazina akili ndo maana sitaki kufuata siasa. Nape huyu ametukanwa sana mwaka juzi na mwaka jana katika kutekeleza kazi zake.

Najua wengi tunapenda maneno yanayotufurahisha zaidi ya kufikirisha.

Huyo ndo Nape ambaye amekata fitina ya kutukanwa na kuwa shujaa na kusifiwa na wapinzani wa CCM?

Sitaki siasa.
Nape ameanza kujitambua....ndiyo maana!
 
Siasa hazina akili ndo maana sitaki kufuata siasa. Nape huyu ametukanwa sana mwaka juzi na mwaka jana katika kutekeleza kazi zake.

Najua wengi tunapenda maneno yanayotufurahisha zaidi ya kufikirisha.

Huyo ndo Nape ambaye amekata fitina ya kutukanwa na kuwa shujaa na kusifiwa na wapinzani wa CCM?

Sitaki siasa.

Hapo sasa, Tanzania hakuna upinzani, kuna usanii, uongo na fitina, basi!
 
Siasa hazina akili ndo maana sitaki kufuata siasa. Nape huyu ametukanwa sana mwaka juzi na mwaka jana katika kutekeleza kazi zake.

Najua wengi tunapenda maneno yanayotufurahisha zaidi ya kufikirisha.

Huyo ndo Nape ambaye amekata fitina ya kutukanwa na kuwa shujaa na kusifiwa na wapinzani wa CCM?

Sitaki siasa.
Mpaka walidiriki kusema Nape hamjui baba yake ni nani.
 
Sijasema CDM kabisa ila alikuwa anaitwa Vuvuzela. Kumbuka kufungiwa kwa Mawio na list ya mawaziri wanaoonekana wanashindwa kufanya kazi zao.
Kwa hiyo kwasababu Nape aliwahi kuwatukana Chadema ndiyo unawalazimisha leo Chadema na wao wamtukane na kumpinga kwa kuwa ameunda tume iliyomdaka Bashit.e allkifanya ujambazi kwa bunduki?
 
Siasa hazina akili ndo maana sitaki kufuata siasa. Nape huyu ametukanwa sana mwaka juzi na mwaka jana katika kutekeleza kazi zake.

Najua wengi tunapenda maneno yanayotufurahisha zaidi ya kufikirisha.

Huyo ndo Nape ambaye amekata fitina ya kutukanwa na kuwa shujaa na kusifiwa na wapinzani wa CCM?

Sitaki siasa.

Nape anapongezwa kwa kutimiza wajibu wake na kusimamia haki, ni wapuuzi wachache wanaoleta siasa katika mambo ya utaifa. Nape kawatendea haki watanzania, bila kujali itikadi zao, na wote waliostaarabika wanampongeza.

Sio kila jambo ni siasa.
 
Kupinga si mazoea, pinga wanapokosea,
Ni dhahiri 'mekosea, Mtazamo 'lipoelezea,

Yaah nimeona ujibiwe kwa mashairi!
 
An enemy of the people is always a man of people. Makonda will always be a man
 
Siasa hazina akili ndo maana sitaki kufuata siasa. Nape huyu ametukanwa sana mwaka juzi na mwaka jana katika kutekeleza kazi zake.

Najua wengi tunapenda maneno yanayotufurahisha zaidi ya kufikirisha.

Huyo ndo Nape ambaye amekata fitina ya kutukanwa na kuwa shujaa na kusifiwa na wapinzani wa CCM?

Sitaki siasa.
Shida ya Watanzania sio wavumilivu, tunapenda kutoa matokeo ya jambo lolote kabla ata halijafanyiwa kazi. Nape tumemzalau sana nakumbuka leo tunamuona mtu mzuri. Kumbe tumesahau kwamba Nape wakati akiwa katibu mwenezi wa chama ilikuwa ni ngumu kisifiwa na upande wa pili, saiv yeye ni waziri lazima afanye kazi ya kutumikia serikali na sio chama kama alaivyokuwa zamani. Mm nimekuelewa sana.
 
Ni nchi inayoendeshwa kisiasa zaidi ya nchi yoyote Afrika kwa sasa. Propaganda zinatumika katika hata masuala ya maana na ya kitaifa.

Back
Top Bottom