Siasa na pombe!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa na pombe!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanamageuko, Apr 11, 2011.

 1. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Vinafanana kwa kila jinsi....
  wanywaji wote kabla ya kulewa huelewana...
  kila mmoja husifia kilevi chake na kuponda cha mwingine...
  mwisho wa siku wengi hufika nyumbani kwa mashaka!!!
  POMBE IKISHAWATOKA HURUDI WAKAONA MADUDU WALIOYAFANYA NA KUPATANA!!!

  Leo tunayoyaona hayatofautiani na hayo... NI WALEVI TU WA KISIASA...
  NDIO MAANA KILA MMOJA ANAISIFIA POMBE YAKE... ANAIONA NI BORA KULIKO ZINGINE!!!

  MBONA POMBE NYINGI TU ZILIKUJA ZIKALEVYA WATU NA LEO ZINAONEKANA KWA MBALI?

  Tunapaswa kubadilika sana wajameni!

  vinginevyo historia itatuhukumu!

  Leo siasa zetu zinafanywa na watu wasio na majukumu!! WATOTO!!!!
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  labda sijakuelewa, ila umefanya comparison nzuri

  palm wine drinkard
   
 3. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  ...mkuu hebu tazama kwa makini uelekeo wa siasa za nchi yetu na WANASIASA WETU...
  Jipe muda na tafakari miaka kumi na mitano iliyopita... si vibaya ukiitazama miaka ishirini na mitano iliyopita... KISHA PIGA PICHA YA TANZANIA IJAYO KUTOKANA NA WANASIASA HAWA HAWA!!!

  YAANI NI "POMBE TUPU"!
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  beerobama-300x246.jpg

  haaaa haaaaaa .... siasa bana
   
 5. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2017
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Niliyaandika haya mwaka 2011 je hayajatimia?
   
Loading...