Explainer
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 516
- 504
Ikiwa Taifa kubwa na kichwa cha uchumi na ubao wa dunia, bado lingali linazungumzia mabadiliko (changes) ni vipi mataifa ya dunia ya tatu yataitaji kuwa na sera tofauti na mpango wa kuleta mabadiliko!!
Habari kwenu na heshima kwenu wakuu. Sio lazima kuanza na hotuba kabla ya salamu? au kugerezea kila jambo toka kwa waliofanikiwa zaidi?. Tulishajizoesha kusema yawezekana viongozi wetu wa kiafrika hawapo sahihi kabisa, ni Kama wanakurupuka kupanga ama kupangua mipango ya mataifa yao.
Sawa, yaweza kuwa kweli, na tukawapa lawama katika hilo, lakini tumejifunza nini kutoka Marekani? Kupanga kufutwa kwa mpango wa bima ya afya ya Obama care, hii ni wazi kwamba sisi waafrika tusikubali kuona viongozi weusi tu ndio ukurupuka, sio kweli, ikiwa mpango uliowekwa na kiongozi aliepita ukuwa sio sahihi kwa Taifa hapo hakunabudi kuufuta au kutouendeleza kabisa.
Lakini inaweza ikawa mbaya zaidi Kama serikali mpya ikafuta mipango ya maendeleo endelevu kwa sababu ya siasa na utofauti baina ya vyama ndani ya nchi husika. Tujifunze kuwa hata nchi zilizoendelea bado nazo zinanafasi kubwa katika kuiga na kuziishi siasa zetu.