montroll
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 319
- 126
Zanzibar imejitangaza na kuaminiwa na jumuiya ya kimataifa kwamba imefanikiwa kumaliza malaria, imejiweka katika nafasi ya kupigiwa mfano katika mapambano dhidi ya ugonjwa huu hatari kabisa pengine hata kuzidi ukimwi.
Hizi ni siasa hatari sana, wanasayansi tiba wanalazimishwa na wanasiasa kutumia kipimo cha RDT kupima malaria, majibu yote ni NEGATIVE!
Ukimbana daktari kwa hoja na akakuona ni muelewa anaanza kupapta kigugumizi, anasema siasa imewaingilia.
Kwanini serikali zetu ziko tayari kumficha mgonjwa matatizo yake?
Hizo pesa wanazopewa kwa miradi ya malaria zitamsaidia nani kama malaria inafichwa na watu wanakufa?
Nani alaumiwe, wanasiasa au wanasayansi wetu?
Kweli pesa ilimuua hata Yesu! Wanasisa wanatuua kwa ajili ya pesa,
kwa ajili ya sifa! Wao na familia zao wanapimwa tunakopimwa sisi na vipimo vya RDT?
Malaria znz ipo na inaendelea kumaliza watu kama kawa, Madaktari wana siri moja na serikali, Hii ni hatari sana.
Wataalamu wa tiba waseme ukweli sasa.
Nawakilisha.