Siasa na kauli za kuzua Taharuki!

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,668
40,916
Kwa sasa zimeibuka aina mpya za siasa hapa nchini kwa kutegemea kauli za kuzua Taharuki!

Kila anayepata platform anatafuta angle ambayo italeta taharuki kama sio hamaki kwa jamii lengwa!

Aina hii ya siasa inalenga katika kumpa mhusika umaarufu wa ghafla ama kumuongezea credits za weledi!

Bila aina hii ya siasa bila shaka kuna wadau wengi wangesahaulika ama kupotea kabisa katika ulingo wa siasa!

Ingawa imekua namna mpya, ila sio yenye Kuleta tija!
 
Mkuu utakuwa unawazungumzia mawaziri wa ccm, wanapendasifa sana
 
Back
Top Bottom