MaxShimba
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 35,772
- 4,054
Kumekuwa na maneno mengi sana kutoka kwa wana Siasa na Viongozi wa Serikali kuwa dini ni chombo hatari sana katika jamii na kinaweza kusababisha umwagaji mkubwa wa damu katika nchi iwapo wahusika wa dini hawatakuwa macho na makini katika kuhubiri imani zao.
Ni kweli kumekuwa na mihadhara mikali, motomoto na hata kutishia amani baina ya Waislam na Wakristo, lakini hatujasikia kuwa mihadhara hiyo imesababisha umwagaji wa damu hususani Tanzania.
Katika kipindi cha mpito, tumeona jinsi Siasa ya Tanzania ilivyo sababisha umwangaji wa damu hasa pale ambapo panakuwa na mvutano kati ya Chama ongozi na Vyama vya upinzani katika majimbo na mikoa tafauti.
Kutokana na hayo hapo juu, ni vigezo vipi vinatumiwa na Wanasiasa pale wanapo sema kuwa, eti, Dini ni hatari sana na inaweza kusababisha umwagaji wa damu katika Nchi na kuiacha siasa ambayo teyari inamwaga damu Tanzania?
Kati ya Siasa na Dini, ni chombo kipi kipo mstari wa mbele katika umwagaji wa damu Tanzania?
Natanguliza shukrani kwa wachangiaji.
Semetic