Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Hivi kuna mwanasiasa maarufu au mwenye uwezo ambaye hajawahi ama kuburuzwa mahakamani, ama umwelani? Swali kwa bwana Nape hii ndio Siasa ya vyama vingi yenye ushindani wa kuleta tija na maendeleo?