Siasa mfumo bagamoyo/gambosh vs siasa mfumo Mungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa mfumo bagamoyo/gambosh vs siasa mfumo Mungu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chimbuvu, Aug 13, 2012.

 1. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,403
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ndugu zanguni,kwa miaka zaidi ya hamsini Tanzania tumekuwa tukiongozwa kwa Siasa za mfumo wa bagamoyo/gambosh/waganga wa kienyeji...na matokeo yake tumepata kile ambacho wanakimiliki hao watu ambapo ni ufisadi,umasikini,kafara,rushwa,visasi vya waziwazi,etc na mazuri yapo ambapo wana mama wajawazito wanapata neti bure,shule za kata zisizo na walimu,saccos etc,lakini muda umefika ambapo viongozi wetu wanahitaji kutoa macho yao kutoka huko Gambosh,now we need a perfomance ,utawala wa wazi,ambapo kila tatizo linamfikia kiongozi husika kwa wakati pasipo konakona,uongozi ulio tayari kusikiliza mapungufu yake ili kuweza kujirekebisha na sio kuzuia baadhi ya vyombo vya habari (napenda kucha zangu),,serikali ambayo ipo tayari kuchukua hatua ngumu ya kuwaadhibu na kuwafilisi wahujumu uchumi(fisadi),serikali iliyo tayari kufuata utawala wa sheria,ni uongozi upi unaouona unafaa na nini chahitajika?
   
Loading...