mkafrend
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,047
- 1,503
Wanajf, salaam!
Nimefuatilia kwa karibu sana speech ya Madam WEMA SEPETU kuhusu nini kimemfanya ahame ingawa kakataa kuweka wazi lkn ukipitia speech zake unagunduwa kuwa:-
1. Amehama kutokana na yeye kukidai chama fedha kiasi kisichojulikana kwa kazi aliyofanya kipindi cha uchaguzi mkuu, (swali - akihama chama ndiyo amepata malipo anazodai?),
2. Amehama chama kwa kuwa haoni fadhila za viongozi wa CCM kwa jinsi alivyojitoa kukipigania chama hadi tishio la kumwagiwa tindikali (je fadhila alizotaka azipate toka kwa viongozi ni zipi - kwamba kila mmoja wa wanaccm aliyepigania chama apate uteuzi hivi nchi ina nafasi ngapi kutoshereza mahitaji na matamanio ya wanaccm?),
3. Angekuwa mtu wa subira na mwenye mikakati, haoni kuwa alipaswa kuwa anawasiliana na mamlaka za CCM kuhusu madai hayo kwa njia za kiofisi (kutumia barua) - leo tukisema hatudai atathibitishaje???
In short siasa ni mchezo unaohitaji uvumilivu na afahamu kuwa iwapo hana chembe ya uvumilivu basi cdm hata mwaka hautaisha kabla ya kutimkia ACA!!