Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Wanachadema poleni na hongereni. Wana Cuf poleni. CCM mhh ili chama kijijenge mlitakiwa mpoteze Kiti hicho.
Baada ya uchaguzi wa igunga sasa natoa mwito kwa wansasa na wenye nafasi za kiasa na kimaamuzi wote ( Wabunge, madiwani, Mawaziri etc ) bila kujai itikadi ya chama.
Asimilia kubwa ya matatizo yaliyopo Tanzania yanatokana na siasa. Iwe ni mgao wa umeme , Iwe ni UFISADI, iwe ni ajali za barabarani, iwe ni kiwango cha elimu Elimu duni , Iwe ni Uchumi yanachangikiwa wa kiasi ikubwa na siasa.
CDM, CUF , NCCR zaidi ya siasa kuna mambo yanaweza ufanyika na kuvijenga zaidi vyama vyenu kisiasa . CDM wana nafasi nzuri sababu wanaongoza baadhi ya Halmashauri.
Nawasilisha

- Je wanasiasa wa Tanzania wamefanya vya kutosha kujua suluisho la matatizo mballi mbali au bado wanaendelea na kasumba ya kudhani ukiwa mbunge, Diwani utajua nini suluisho sahihi la kila kitu?
- Mbona watu wanaandika na kupendekeza baadhi suluisho matatzio lakini wanasiasa wawe wa upiznai na wa utawala Hwaonekani kujali a kutilia maanani ?
- Je wanasiasa wanajua kuna mambo hawayajui au hawana taarifa zake na kama wangembiwa na kuyajua basi tungekuwa hatua moja mbele