Siasa itamponza Dk Shoo?

Kama Malasusa hana kinyongo na Shoo, anaweza akashinda. Lakini u must know Malasusa ana kambi yake ya chini kwa chini ambayo inaweza ikaleta upinzani kwa Shoo ambaye naye alitaka kumwangusha Malasusa.
Time will tell.
Malasusa hana ushawishi tena KKKT. Na bay a zaidi serikali imeshindwa kumteua mtu mwenye ushawishi ndani ya KKKT Ili awekwe mtu wao. Tunatambua RC ina nguvu kule Juu sana, na Mkuu wa huko Juu sana Mara zote huwa ni 'mtu wao' Sasa serikali za kipindi kulichopita walikuwa wanaweka PM ambaye 'anazungumza Lugha moja' na KKKT. Safari hii amewekwa PM wa nusu BAKWATA nusu RC(innalilahi....) Kwaiyo hakuna ushawishi kwa Kanisa na hivyo Shoo AMESHINDA kibabe
 
Habari za hv punde
IMG-20190824-WA0030.jpeg
 
Naona wapinzani wa Shoo ni kina Munga ambao pia sio wababaishaji.

Nimependa utaratibu wa KKKT, askofu mkuu anachaguliwa na maaskofu wenzake wa kitanzania sio askofu tuletewe kutoka Vatcan.

Ndio maana China walikataa huo ujinga, waumini wachina, mapadri wachina ila eti wachaguliwe vatcan. Wanaleta tu mtu hata ambae waumini hawamjui. Huo ni utaahira.

Wachague mtu anaekubalika na waumini wanamkubali.
Nawe unaamini kuwa anatoka Vatican?
 
Nahisi Malasusa alikuwa chaguo la watendaji wa nchi Ila Sasa wameshindwa..Mkuu wa KKKT si mtu wa kuburuzwa, Ukienda TEC ndio kabisaa uongozi wa TEC wa Sasa si wa kuburuzwa mfano Katibu mkuu na hata Askofu mkuu wa jimbo kuu la Dar es salaam wa sasa. Labda sasa Wamebakia Bakwata na makanisa ya hulka za kama Mzee wa Upako kuburuzwa na kusifia kila jambo
Malasusa hana ushawishi tena KKKT. Na bay a zaidi serikali imeshindwa kumteua mtu mwenye ushawishi ndani ya KKKT Ili awekwe mtu wao. Tunatambua RC ina nguvu kule Juu sana, na Mkuu wa huko Juu sana Mara zote huwa ni 'mtu wao' Sasa serikali za kipindi kulichopita walikuwa wanaweka PM ambaye 'anazungumza Lugha moja' na KKKT. Safari hii amewekwa PM wa nusu BAKWATA nusu RC(innalilahi....) Kwaiyo hakuna ushawishi kwa Kanisa na hivyo Shoo AMESHINDA kibabe
 
Siasa ni nini ?
Siasa ni maisha ya kila siku anayoyaishi binaadamu yeyote aliye chini ya jua haijalishi ni Askofu,Maalim,Sheikh,Mchungaji,Tajiri masikini siasa ukiipeleka ndivyo sivyo inaweza leta dhiki shida vita ambayo haiangalii huyu ni nani na siasa hiyo hiyo ukiisimamia vizuri itakupa mema ya nchi Amani ,Upendo na Utulivu wa Moyo na Akili ,unaachana na siasa pale unapoingia kaburi mtu anapo sema mimi sio mwanasiasa huwa namwangalia mara mbilimbili huyuuu kuna nyuzi imekatika some were halafu kibaya zaidi utakuta ana master mkononi.
 
Uchaguzi wa Mkuu wa KKKT unaendelea hadi usiku huu.

Lakini lipo jambo nalisumbukia sana toka mapema juzi kwamba je ukereketwa wa Siasa za Tanzania ulio wa wazi kabisa kwa ma Askofu wa Kkkt utamponya na kushinda tena kinyang'anyilo uchaguzi ule Dk Shoo?
Hebu nyoosha maelezo, siasa au kusema ukweli ndio kutamponza.
 
Uchaguzi wa Mkuu wa KKKT unaendelea hadi usiku huu.

Lakini lipo jambo nalisumbukia sana toka mapema juzi kwamba je ukereketwa wa Siasa za Tanzania ulio wa wazi kabisa kwa ma Askofu wa Kkkt utamponya na kushinda tena kinyang'anyilo uchaguzi ule Dk Shoo?
Taifa la wajinga kama wewe kila kitu mnaweka siasa dr shoo ndio ameshinda
 
Mashitaka ya Yesu:"Anakataza watu kulipa kodi", ni mashitaka ya kidini?
ndio maana nikakuambia walitumia waliunga unga mashitaka ya kisiasa kutimiza lengo lao

Fuatilia vizuri mashtaka yake yalikuwa ya kuunga unga sana, mfano
1. Anazuia watu kulipa kodi
kumbuka aliwahi kutegwa kuhusu hii ishu akasema ya kaisari mpeni kaisari

2. Anajiita mfalme wa wayahudi
hapa lengoni ili aonekane ni mhaini na kesi ya uhaini chini ya Roman empire ilikuwa ni kifo

3. Mahubiri na mikutano yake ya kidini ilichukuliwa kama ni mikutano ya kisiasa na anamobilize watu wafanye uasi dhidi ya Rumi
 
Back
Top Bottom