Siasa imezidi kwenye uhifadhi wa wanyamapori! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa imezidi kwenye uhifadhi wa wanyamapori!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mchomamoto, Jan 20, 2012.

 1. M

  Mchomamoto Senior Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wana JF wenzangu hivi kweli hata kuhifadhi wanyamapori wetu na misitu yetu lazima tuingize siasa??
  Hali katika hifadhi zetu zote nchini sasa hali ni mbaya kupita kiasi, katika hali ya kawaida unaweza usikubali kuwa wanyamapori sasa wanakumbwa na balaa kubwa kwenye hifadhi zetu. Jamani naomba tuelewe kuwa "WILDLIFE ARE NOT RENEWABLE RESOURCES"
  Hivyo kwa huu mchezo wa kutokukubali kupeleka pesa za kufanyia doria, uhaba wa vifaa, kutokujali wafanyakazi, kuacha watu waliobobea kwenye uhifadhi wafanye kazi zao na sasa tunaingiza siasa haki ya nani naapa wanyama wataisha,miti itaisha,madini yataisha na hatimae maji kwenye maziwa yakauke na hapo ndipo tutakaposaga meno! hasa kwa vizazi vyetu vijavyo. HIVI WATOTO WETU WATAKUTA TEMBO, SIMBA, NYATI, CHUI, FARU kwa mtindo huu kweli????????????
   
 2. i

  iMind JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Fedha hazipelekwi kwa sababu ya siasa au kwa sababu hazipo?
   
 3. M

  Mchomamoto Senior Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  iMIND!!!mkuu ni siasa tuu sababu hizo hifadhi zinazalisha sana kutokana na shughuli za utalii zinazoendelea humo, nikupe mfano:wewe una gari la kubeba abiria unapata pesa alafu hutaki kutoa pesa ili hiyo gari ifanyiwe matenegenezo ili kuhakikisha kuwa inaendelea kukuletea pesa ni nn kitatokea?
   
Loading...