Siasa imenifikisha hapa: Je Mwanza Airport ni International au Sio?

Ni kweli uwanja wa ndege Mwanza ni aibu zile ofisi za pale zinasikitisha jengo limechoka sana mvua ikinyesha wote mnanyeshewa na mvua.

Hivi Ule wa kimataifa wa Kigoma Upo katika hatua Gani Mkuu? bado ule mpango wa kuigeuza kigoma kuwa Dubai Upo?
 
Kwa maana ya kitabuni/dictionary Mwanza Airport ni INTERNATIONAL (kuwepo kwa MAAFISA UHAMIAJI sema kwa Standard za macho ni AIRPORT ya kata
 
Hivi Ule wa kimataifa wa Kigoma Upo katika hatua Gani Mkuu? bado ule mpango wa kuigeuza kigoma kuwa Dubai Upo?

Mkuu maandalizi yanaendelea vizuri sana ya Kigoma kuwa kama Dubai,Airport ishakamilika zinatua ndege kubwa sana kuanzia Boeing mpaka Airbus,trenii ya kasi nayo ishakamilika kwa hiyo sasa hivi kutoka Dar to Kigoma ni masaa3 kwa Treni,Bandari nayo inafanya vizuri kuna mameli makubwa sana yanatia nanga hapo,kinachosubiriwa ni uzinduzi tuu hapo Mwezi October mwaka huu.
 
huu ni utani haswaa kuiiita MWANZA Airport ni international airport kwa kigezo cha kuwepo maafisa uhamiaji pale
 
Back
Top Bottom