Siasa imeingia mpaka katika ngazi za familia nyumbani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa imeingia mpaka katika ngazi za familia nyumbani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Soso J, Sep 15, 2011.

 1. Soso J

  Soso J JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 1,685
  Likes Received: 674
  Trophy Points: 280
  ....sitaki kuamini kuwa wanasiasa kwa notion iliyozoeleka kuwa eti wanaongea saaaaana,sasa hivi bila siasa hatuwez fanya mambo mengne?au ni mwamko ni tu wa kijamii na mawazo huru ya mwanadamu ndio yanakopelekea siasa kutawala kila sehemu?Hata ngazi za familia tu siasa ipo,watoto wanakuwa na lolote la kusema juu ya siasa,baba anakuwa mwanasiasa,mama pia....na kwanini wanasiasa wanachukuliwa kama watu waongo?ni kutokana na kauli zao zisizotekelezeka?
   
Loading...