Siasa imefika pazuri, ushindi wa sasa lazima uwe wa jasho- vita mbili upinzani

Mkwawa

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
1,334
1,464
Kuundwa kwa ACT-Zito na CCM kunaifanya kambi ya upinzani iwe na kibarua kikubwa kwani sasa inabidi ipambane na adui anaijifanya ni mpinzani na adui aliyetengeneza mamluki.

Mobutu style.

CDM, CUF, NCCR wanatakiwa kuwa macho usiku kucha kwani kabla ya october thoruba nyingine italetwa na mfu CCM hasa ikizangitiwa mkwa huu wa kukata roho utakuwa mgumu sana kwa CCM kukubali kufa kirahisi.

Kikiwa kimetumia fedha nyini sana kudhoofisha upinzani, kauli ya wassira mwaka na ushee uliopita kwamba CDM itakufa mwaka uliopita wakiwa na matumaini mtandao wa ZZk-kitila Msando, mwigamba ungefanya kazi walijikuta kibarua kikianza upya baada ya waliotumwa kufanya kazi kushindwa kabisa ku-deliver.

ACT imeshindwa kabla haijaanza, mpaka sasa ZZK hana uwezo tena kusema anaweza kushinda jimbo gani la uchaguzi baada ya kujua wazi hana nguvu tena za kushinda kigoma kaskazini kwani ni kati ya wabunge dhaifu sana wa CDM waliokuwa wanashinda kwa mbinde na tofauti ndogo sana ya kura ukilinganisha na wabunge wengine wa CDM.

Mwaka huu ambapo ukawa upo kazini mamluki wamejikuta wakikosa mbinu mbadala.

Tunaanza na mungu na Tutamaliza na mungu.
 
Chadema lazima tuanze kumshukuru mungu maana kupitia cdm.mungu ataleta ukombozi wa watanzania wanaodhuluwiwa.
 
Yaani unalazimisha kujenga hoja bado haijengeki, kazi sana kutumwa na Mbowe wakati huna akili
 
Mungu wenu anakubaliana na viongozi wenu wazinzi.

Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi.Wewe pamoja na wengine wengi wenye akili na mawazo kama haya hamnazo kabisa,hoja ni nyingine wewe unaleta matusi,si ajabu wewe mwenyewe ni mtoto wa uzinzi.
 
Pamoja na hiki chama kuwa ni mtoto wa ccm,hakitafika popote,wananchi wengi wameshakifahamu hasa wanaounga mkono upinzani,watu wanaojitokeza kwenye mikutano ya hicho chama ni wanachama wa ccm,na huwa wanaenda kusikia kama zito atazungumzia tuhuma alizokuwa nazo cdm zikapelekea kufukuzwa cdm,ukifuatilia vizuri utaona kuwa kauli nyingi za zito ni uongo,sasa wananchi wameshamgundua.na pia mjue kuwa watanzania wakati mwingine huenda kwenye mikutano kufuata burudani,
 
Yaani unalazimisha kujenga hoja bado haijengeki, kazi sana kutumwa na Mbowe wakati huna akili

Nadhani asiye na akili ni wewe,ungejibu hoja siyo kumtukana,na huyu mbowe atawasumbua sana,mlitengeneza zengwe kwenye uchaguzi mkimtumia hadi msajili wa vyama ili atoke kwenye uenyekiti mkashindwa,sasa mmebaki na maumivu,poleni sana wazandiki.
 
Mungu wenu anakubaliana na viongozi wenu wazinzi.

Bora kuwa na viongozi wazinzi wanaoweza kuleta maisha bora kwa Watanzania kuliko kuwa na viongozi impotent ambao wao wajuacho ni wizi na dhuluma tuu.
After all uzinzi ule wa hiari ya watu wawili tofauti ni bora kuliko ubakaji wa watoto unaofanywa na viongozi wenu wakiongozwa na yule Prof wa Kaliua
 
Kuundwa kwa ACT-Zito na CCM kunaifanya kambi ya upinzani iwe na kibarua kikubwa kwani sasa inabidi ipambane na adui anaijifanya ni mpinzani na adui aliyetengeneza mamluki.

Mobutu style.

CDM, CUF, NCCR wanatakiwa kuwa macho usiku kucha kwani kabla ya october thoruba nyingine italetwa na mfu CCM hasa ikizangitiwa mkwa huu wa kukata roho utakuwa mgumu sana kwa CCM kukubali kufa kirahisi.

Kikiwa kimetumia fedha nyini sana kudhoofisha upinzani, kauli ya wassira mwaka na ushee uliopita kwamba CDM itakufa mwaka uliopita wakiwa na matumaini mtandao wa ZZk-kitila Msando, mwigamba ungefanya kazi walijikuta kibarua kikianza upya baada ya waliotumwa kufanya kazi kushindwa kabisa ku-deliver.

ACT imeshindwa kabla haijaanza, mpaka sasa ZZK hana uwezo tena kusema anaweza kushinda jimbo gani la uchaguzi baada ya kujua wazi hana nguvu tena za kushinda kigoma kaskazini kwani ni kati ya wabunge dhaifu sana wa CDM waliokuwa wanashinda kwa mbinde na tofauti ndogo sana ya kura ukilinganisha na wabunge wengine wa CDM.

Mwaka huu ambapo ukawa upo kazini mamluki wamejikuta wakikosa mbinu mbadala.

Tunaanza na mungu na Tutamaliza na mungu.
Mkuu naona umeandika maneno ya kuwafariji na kuwaliwaza Mbowe na Dr.Slaa pamoja na wafuasi wao.

Unajitia upofu hautaki kuona mchakamchaka mnaopelekwa na Zitto kupitia ACT-Wazalendo.

Nani aliyekuambia Chadema ndiyo mwenye mamlaka ya kuwa mpinzani peke yake Tanzania imeandikwa wapi.

Tulia dawa ikuingie.
 
hivi ACT ni upinzani dhidi ya cdm or serikali?
mbona ccm wengi mnakisapoti sana hiki chama nyie ni wapinzani?
Tangu lini chama kikaendeshwa na mtu mmoja?
kwanini A.yatollah hapendi criticism, yani nafatilia kiundani tangu ajiunge haka kachama amekua anaunfriend na kuwablock wenye kumchallange ktk mitandao ya kijamii.
 
Sasa kama chama akiendeshwi na mtu moja hofu yenu ya nini sasa, Bavicha uwa mnachekesha sana matusi yenu ndiyo mnaita challenge?
 
Freedom of associations basic human rights ambayo inaisimamisha CDM,CCM,CUF,ACT etc
 
hivi ACT ni upinzani dhidi ya cdm or serikali?
mbona ccm wengi mnakisapoti sana hiki chama nyie ni wapinzani?
Tangu lini chama kikaendeshwa na mtu mmoja?
kwanini A.yatollah hapendi criticism, yani nafatilia kiundani tangu ajiunge haka kachama amekua anaunfriend na kuwablock wenye kumchallange ktk mitandao ya kijamii.

Chama kinajengwa kwenye field na sio kwenye social media
 
angelijua hilo asingejikalisha ofisini wkt watu wanajenga cdm..mwache ajenge sasa aone ugumu wa kujenga chama,always ntabak kumtambua kmA.yatollah
 
Sasa kama chama akiendeshwi na mtu moja hofu yenu ya nini sasa, Bavicha uwa mnachekesha sana matusi yenu ndiyo mnaita challenge?

yako wapi matusi? zzk ni mnafiki toka akiwa cdm na hii ACT ni mwendelezo tu,tangu lini we ccm ukawa na uchungu na upinzani wa dhati?acha kuuchekesha uma we kijana wa Lumumba,mwisho Mimi siyo bavicha wala mfuasi wa chama chochote,mwanaharakati binafsi TEAM lowassa bila kuhusishwa na chama
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom