Siasa haitaki wasomi?

Teacher1

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
328
250
Wasomi wengi nchini kushindwa kufanya vizuri katika siasa hasa za chama tawala inatuletea picha zifuatazo.
1. Siasa katika chama hicho hazitaki mtu makini
2. Chama tawala hakitaki watu wasomi wanaotaka mambo yafuate principals na ndiyo maana hakuna mikakati wa kunyanyua elimu ya Watanzania
3. Chama tawala Kina mambumbu wengi wasio weza kuelewa mambo makubwa ya kitaaluma

Unaweza kuangalia Maprofesor, madokta mbalimbali hapa nchini walivyoshindwa kung'ara katika utekelezaji wa majukumu yao ya kisiasa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom