Siasa bana: Kwamba leo Shonza ni naibu waziri, Nape nje. Dah....!

BOMBADIER.jpg
eti kwamba leo TANZANIA tunaweza kumiliki ndege BOMBADIER
 
Nimejaribu kuwaza tu.

Kwamba leo Lowassa ni chadema duuu......

Kwamba leo Sumaye ni chadema dah.....

Kwamba leo magufuli ni rais wa nchi hii.....aiseeee (nimekumbuka mitandao ya urais ndani ya ccm)

Kwamba leo Makonda ana nguvu ndani ya serikali kuliko Nape...aiseeee

Kwamba, leo Shonza ni naibu waziri Nape yupo twitter........aiseeeeee weka mbali na watoto

Kwamba, leo rais wa USA ni Donald Trump mamaaaaaa......hajawahi hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi.

Kwamba, rais wa Ufaransa ana miaka hahahahhaha 34 nini hahahaha....sijui.

Kwamba, leo ..........................................

Endeleeni kwamba leo.........hahahahahaha

Achana na siasa wewe.
Nani alijua kama Tundu Lissu angekuja kupigwa risasi zaidi ya ishirini na bado kasalimika!!!!!!

Hakuna haijuae kesho

Mwenyezi Mungu muumba wa viumbe vyote ashukuriwe
 
Back
Top Bottom