Siamini uwepo wa miujiza

miujiza ipi isije kuwa na kula ma bange alafu yakujia mapicha picha kichwani?
 
Wanao amini miujiza ndio wanaohitaji ushauri sio wewe
 
Hiyo pumzi tu uliyonayo ni muujiza tosha...HAKIKA KUTOFAUTIANA USIKU NA MCHANA NA KUUMBWA MBINGU NA ARDHI NI ISHARA KWA WENYE AKILI (sulatul baqara 190-195)
 
Iamini tu.Miujiza ipo,kwani enzi za Magufuli hukusikia kuwa Tanzania virusi vya Corona vimekutwa kwenye mapapai?😁😁😁
tapatalk_1588515803091.png
DH.jpg
 
Back
Top Bottom