Coolhigh
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 1,338
- 1,221
Nchi zilizoendelea sana town buses zina viti vichache kwa ajili ya wazee na walemavu wengine ni kusimama. Basi lenye leseni ya watu 90, lina seat 30 na watu 60 wasimame.Kwa nchi na raia waliostaarabika, level seat ndo hutumika