Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,055
- 22,794
Nimesoma gazeti moja kuwa Tanzania inakabiliwa na upungufu mkubwa sana wa wataalam wa Kilimo. Tuna Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine na vyuo vingine vingi sana vya Kilimo kama Ukiriguru, n.k. Wapo au wote wanishia majuu. Na kama wanaishia majuu, kwa nini?