Siamini kumbe Mchumba wangu ni malaya! Wanawake ni hatari!

American Ninja

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
224
304
Mapema mwaka jana mwanzoni nilimpata dada mmoja mwenye asili ya Tanga (24) nikawa nadate nae. Nilimpata Instagram na tulianza mawasiliano ya kawaida baadae tukaonana na tukaanzisha uhusiano wa mapenzi.
Dada huyu Ni Mzuri sana na mwenye haiba ya aibu!. Siku na Miezi ilikatika nikawaza kuwa sasa muda wa kuoa umefika, maana Dada alikuwa anaonyesha kila Aina ya matumaini kuwa anafaa kuwa mke (Kwa macho ya Kibinadamu).

Ila kabla sijaamua kufanya maamuzi makubwa ya kwenda kumtambulisha kwa wazazi na Kufunga nae ndoa nikaona Hebu Nimtazame kwa jicho la tatu.

Ooh Hapo ndipo nilikoma nikaona hii dunia kweli jalala.
Nilifanya maarifa ya kujaribu kumfuatilia juu juu ila sikugundua kitu, ndipo nikawaza kuwa natakiwa nitumie maarifa ili niweze kuitambua vizuri Ngozi yake halisi.
Mapema mwezi huu nilianza kugundua mambo yalojificha kumuhusu!.
Kumbe kwenye simu anayoitumia ana lini mbili ila muda wote akiwa nami huwa anaitumia line moja nyingine anaiinactive!
Nikagundua Kumbe mle kwenye simu yake huwa ana app mbili za whatsapp! yaani whatsapp ya kawaida na GB whatsapp!.
Nikagundua kumbe mle kwenye simu yake ana app kadhaa za online dating kama Badoo, na Tinder na humo ndimo anamojiuzia, Pia Nikapepeleza nikagundua kwenye simu yake huwa anaficha app hizo na Gb whatsapp hivyo anaweza akakuachia simu siku nzima usigundue lolote!
Ndipo Nikajiuliza kwanini anaweke apps kama hizi tena kwa kuzificha?
Nikawaza kwanini awe na whatsapp nyingine ambayo haraki niijue!?
Nikajiuliza kwanini kwenye simu yake kwanini ana line mbili ili hali mimi naijua moja tu na nyingine ipo inactive!
Ndo nikaona hapa sio Bure kuna mchezo unaendelea, Kazi niliyofanya ni Kuchukua no ile line ambayo muda wote huwa anaifunga.
Nilitafuta line mpya na nikaisajili kwenye whatsapp na Kumtext kwa ile namba!, E bwanee! Sikuamini!, Mchumba wangu alinijibu baada ya Muda na kuniambia nataka nini na namba yake nimepata wapi?,.
Nikamwambia 'ulinipa no yako wiki mbili zilizopita Badoo,' akaniuliza nataka nini?, Mimi nikamuomba game!.
Huwezi amini hakuniuliza chochote kingine zaidi ya kuniuliza nina Sh ngapi!, Nikapasuka Moyo Ghafla na kumwambia "Sema tu wewe", Akasema anataka 40000!!
Mmh sikuamini nikaona kama kiini macho vile! Nikamwambia Vipi Unaweza kuja tukalala Hotel? akasema "pesa yako tu"!!! Nikamuuliza sh ngapi akasema 60000!! Nikapata uwoga inawezekanaje afanye mambo kama hayo! maana Tangu nafahamiana nae huwa anaweza akaja kwangu akakaa siku tatu, mara utasikia Narudi kwa mjomba Ilala!
Anaweza kwenda na kukaa huko wiki hadi wiki na nusu ndo naonana nae tena! Nikawa nimegundua kumbe hata mjomba wake muda mwingine huwa anawaza Mchumba yupo kwangu Kumbe hayupo kwangu wala kwake anafanya umalaya huko!.
Nikafikiria nikaona ni kama uongo vile nikasema ngoja niingie huko kwenye hiyo mitandao nimtafute, Baada ya siku mbili nikaibamba picha yake Hitwe na Kumtumia Ujumbe.
Ilipofika mida ya jioni kama saa mbili hivi ndipo akanijibu,
Ebwanee sikuamini Kumbe Mchumba wangu anaweza kufanywa hadi Mtungo!
Nilimtext "Mimi na wenzangu watatu Tunakataka tulale na wewe", akasema 'hela yenu tu' Nikashangaa!!
Nikamuuliza "Unaweza"?
Akasema wanne sijawahi kujaribu ila watatu nishawahi, naweza!
Mpaka kufikia hapo nikawa nimeishiwa pozi!.
Sijamuonyesha lolote hadi sasa kuwa kuna kitu nimekistukia kutoka kwake, Ila bado najiuliza Huyu ni mtu au Shetani!?
Anawezaje kuwa anafanya uchafu mkubwa kiasi hiki!?
Simu Aliyonayo mimi ndo nimemnunulia, Matumizi yote ya msingi huwa nampa, sasa nashindwa hata kuelewa anafanya hayo mambo anataka nini! na hela anapeleka wapi!!? na mpango wake kwangu ni nini!
Kifupi nipo kwenye wakati mgumu sana hapa.
Najaribu kufikiria wanawake wana akili za aina gani! hili jambo naona Ni la ajabu mno kwangu! Natafakari Nifanye nini, maana si pepo la ngono tu alilonalo, ila nahisi Huyu ndiye shetani mwenyewe real kabisa. Cha kushangaza, Mwezi wa kumi na Moja Nilienda nae kupima, Na wote tukaonekana tuko sawa ila nashindwa kabisa kuelewa kwanini arisk maisha kiasi hiki!. Naombeni maarifa wenzangu nifanye nini.
 
Ushapima baada ya kujua hilo??
Mapema mwaka jana mwanzoni nilimpata dada mmoja mwenye asili ya Tanga (24) nikawa nadate nae. Nilimpata Instagram na tulianza mawasiliano ya kawaida baadae tukaonana na tukaanzisha uhusiano wa mapenzi. Dada huyu Ni Mzuri sana na mwenye haiba ya aibu!. Siku na Miezi ilikatika nikawaza kuwa sasa muda wa kuoa umefika maana Dada alikuwa anaonyesha kila Aina ya matumaini kuwa anafaa kuwa mke (Kwa macho ya Kibinadamu). Ila kabla sijaamua kufanya maamuzi makubwa ya kwenda kumtambulisha Home na Kufunga nae ndoa nikaona Hebu Nimtazame kwa jicho la tatu, Hapo ndipo nilikoma Mwenyewe nikaona hii dunia kweli jalala. Nilifanya maarifa ya kujaribu kumfuatilia juu juu ila sikugundua kitu ndipo nikawaza kuwa natakiwa nitumie maarifa ili niweze kuitambua vizuri Ngozi yake halisi.
Mapema mwezi huu ndipo nikaanza kugundua mambo yalojificha kumuhusu. Kumbe kwenye simu anayoitumia ana lini mbili ila muda wote akiwa nami huwa anaitumia line moja nyingine anaiunactive!
Nikagundua Kumbe mle kwenye simu yake huwa ana app mbili za whatsapp! yaani whatsapp ya kawaida na GB whatsapp! Nikagundua kumbe mle kwenye simu yake ana app kadhaa za online dating kama Badoo, Hitwe na Tinder na humo ndimo anamojiuzia, Pia Nikapepeleza nikagundua kwenye simu yake huwa anaficha app za love dating na Gb whatsapp hivyo anaweza akakuachia simu siku nzima usigundue lolote!
Ndipo Nikajiuliza kwanini anaweke apps kama hizi tena kwa kuzificha?
Nikawaza kwanini awe na whatsapp nyingine ambayo haraki niijue!?
Nikajiuliza kwanini kwenye simu yake kwanini ana line mbili ili hali mimi naijua moja tu na nyingine ipo inactive!
Ndo nikaona hapa sio Bure kuna mchezo unaendelea, Kazi niliyofanya ni Kuchukua no ile line ambayo muda wote huwa anaifunga.
Nilitafuta line mpya na nikaisajili kwenye whatsapp na Kumtext kwa ile namba! E bwanee! Sikuamini, Mchumba wangu alinijibu baada ya Muda na kuniambia nataka nini na namba yake nimepata wapi, Nikamwambia 'ulinipa no yako wiki mbili zilizopita Hitwe' akaniuliza nataka nini?, mimi nikamuomba game!. Huwezi amini hakuniuliza chochote kingine zaidi ya kuniuliza nina Sh ngapi! Nikapasuka Moyo Ghafla na kumwambia Sema tu wewe, Akasema anataka 40000!! Mmh sikuamini nikaona kama kiini macho vile! Nikamwambia Vipi Unaweza kuja tukalala Hotel? akasema "pesa yako tu"!!! Nikamuuliza sh ngapi akasema 60000!! Nikapata uwoga inawezekanaje afanye mambo kama hayo! maana Tangu nafahamiana nae huwa anaweza akaja kwangu akakaa siku tatu mara utasikia Narudi kwa mjomba Ilala! Anaweza kwenda na kukaa huko wiki hadi wiki na nusu ndo naonana nae tena! Nikawa nimegundua kumbe hata mjomba wake muda mwingine anawaza Mchumba yupo kwangu Kumbe hayupo kwangu wala kwake anahanya umalaya huko!!. Nikafikiria nikaona ni kama uongo vile nikasema ngoja niingiehuko kwenye hiyo mitandao nimtafute, Baada ya siku mbili nikaibamba picha yake Hitwe na Kumtumia Ujumbe. Ilipofika mida ya jioni kama saa mbili hivi ndipo akanijibu, Ebwanee sikuamini Kumbe Mchumba wangu anaweza kufanywa hadi Mtungo! Nikamwambia Mimi na wenzangu watatu Tunakataka tulale na wewe, akasema 'hela yenu tu' Nikashangaa!! Nikamuuliza "Unaweza"? akasema wanne sijawahi kujaribu ila watatu nishawahi naweza! Mpaka kufikia hapo nikawa nimeishiwa pozi!. Sijamuonyesha lolote hadi sasa kuwa kuna kitu nimekistukia kutoka kwake, Ila bado najiuliza Huyu ni mtu au Shetani! Anawezaje kuwa anafanya uchafu mkubwa kiasi hiki! Simu Aliyonayo mimi ndo nimemnunulia, Matumizi yote ya msingi huwa nampa, sasa nashindwa hata kuelewa anafanya hayo mambo anataka nini! na hela anapeleka wapi!!? na mpango wake kwangu ni nini!
Kufupi nipo kwenye wakati mgumu sana hapa, najaribu kufikiria wanawake wana akili za aina gani! hili jambo naona Ni la ajabu mno kwangu! Natafakari Nifanye nini, maana si pepo la ngono tu alilonalo, ila nahisi Huyu ndiye shetani mwenyewe real kajidhihirisha kwangu. Naombeni Ushauri wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile appiphone
 
Mwanamke mwaminifu ni mama yako na uaminifu wake hau-apply kwa baba yako ni kwako wewe tu liweke hili akilini mwako.

Ukutane na mwanamke insta umuone mwaminifu?dude you must be kidding,huyo aliyekwambia ni mjomba'ake siyo mjomba ni bwana kama wewe so hata akitoka kwake kuja kwako na wewe unatambulishwa kama mjomba'ake vile vile.

Hiyo simu baada ya kukutana na haya ulimrudishia?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mapema mwaka jana mwanzoni nilimpata dada mmoja mwenye asili ya Tanga (24) nikawa nadate nae. Nilimpata Instagram na tulianza mawasiliano ya kawaida baadae tukaonana na tukaanzisha uhusiano wa mapenzi.
Dada huyu Ni Mzuri sana na mwenye haiba ya aibu!. Siku na Miezi ilikatika nikawaza kuwa sasa muda wa kuoa umefika, maana Dada alikuwa anaonyesha kila Aina ya matumaini kuwa anafaa kuwa mke (Kwa macho ya Kibinadamu).

Ila kabla sijaamua kufanya maamuzi makubwa ya kwenda kumtambulisha kwa wazazi na Kufunga nae ndoa nikaona Hebu Nimtazame kwa jicho la tatu.

Ooh Hapo ndipo nilikoma nikaona hii dunia kweli jalala.
Nilifanya maarifa ya kujaribu kumfuatilia juu juu ila sikugundua kitu, ndipo nikawaza kuwa natakiwa nitumie maarifa ili niweze kuitambua vizuri Ngozi yake halisi.
Mapema mwezi huu nilianza kugundua mambo yalojificha kumuhusu!.
Kumbe kwenye simu anayoitumia ana lini mbili ila muda wote akiwa nami huwa anaitumia line moja nyingine anaiinactive!
Nikagundua Kumbe mle kwenye simu yake huwa ana app mbili za whatsapp! yaani whatsapp ya kawaida na GB whatsapp!.
Nikagundua kumbe mle kwenye simu yake ana app kadhaa za online dating kama Badoo, Hitwe na Tinder na humo ndimo anamojiuzia, Pia Nikapepeleza nikagundua kwenye simu yake huwa anaficha app hizo na Gb whatsapp hivyo anaweza akakuachia simu siku nzima usigundue lolote!
Ndipo Nikajiuliza kwanini anaweke apps kama hizi tena kwa kuzificha?
Nikawaza kwanini awe na whatsapp nyingine ambayo haraki niijue!?
Nikajiuliza kwanini kwenye simu yake kwanini ana line mbili ili hali mimi naijua moja tu na nyingine ipo inactive!
Ndo nikaona hapa sio Bure kuna mchezo unaendelea, Kazi niliyofanya ni Kuchukua no ile line ambayo muda wote huwa anaifunga.
Nilitafuta line mpya na nikaisajili kwenye whatsapp na Kumtext kwa ile namba!, E bwanee! Sikuamini!, Mchumba wangu alinijibu baada ya Muda na kuniambia nataka nini na namba yake nimepata wapi?,.
Nikamwambia 'ulinipa no yako wiki mbili zilizopita Hitwe,' akaniuliza nataka nini?, Mimi nikamuomba game!.
Huwezi amini hakuniuliza chochote kingine zaidi ya kuniuliza nina Sh ngapi!, Nikapasuka Moyo Ghafla na kumwambia "Sema tu wewe", Akasema anataka 40000!!
Mmh sikuamini nikaona kama kiini macho vile! Nikamwambia Vipi Unaweza kuja tukalala Hotel? akasema "pesa yako tu"!!! Nikamuuliza sh ngapi akasema 60000!! Nikapata uwoga inawezekanaje afanye mambo kama hayo! maana Tangu nafahamiana nae huwa anaweza akaja kwangu akakaa siku tatu, mara utasikia Narudi kwa mjomba Ilala!
Anaweza kwenda na kukaa huko wiki hadi wiki na nusu ndo naonana nae tena! Nikawa nimegundua kumbe hata mjomba wake muda mwingine huwa anawaza Mchumba yupo kwangu Kumbe hayupo kwangu wala kwake anafanya umalaya huko!.
Nikafikiria nikaona ni kama uongo vile nikasema ngoja niingie huko kwenye hiyo mitandao nimtafute, Baada ya siku mbili nikaibamba picha yake Hitwe na Kumtumia Ujumbe.
Ilipofika mida ya jioni kama saa mbili hivi ndipo akanijibu,
Ebwanee sikuamini Kumbe Mchumba wangu anaweza kufanywa hadi Mtungo!
Nilimtext "Mimi na wenzangu watatu Tunakataka tulale na wewe", akasema 'hela yenu tu' Nikashangaa!!
Nikamuuliza "Unaweza"?
Akasema wanne sijawahi kujaribu ila watatu nishawahi, naweza!
Mpaka kufikia hapo nikawa nimeishiwa pozi!.
Sijamuonyesha lolote hadi sasa kuwa kuna kitu nimekistukia kutoka kwake, Ila bado najiuliza Huyu ni mtu au Shetani!?
Anawezaje kuwa anafanya uchafu mkubwa kiasi hiki!?
Simu Aliyonayo mimi ndo nimemnunulia, Matumizi yote ya msingi huwa nampa, sasa nashindwa hata kuelewa anafanya hayo mambo anataka nini! na hela anapeleka wapi!!? na mpango wake kwangu ni nini!
Kifupi nipo kwenye wakati mgumu sana hapa.
Najaribu kufikiria wanawake wana akili za aina gani! hili jambo naona Ni la ajabu mno kwangu! Natafakari Nifanye nini, maana si pepo la ngono tu alilonalo, ila nahisi Huyu ndiye shetani mwenyewe real kabisa. Cha kushangaza, Mwezi wa kumi na Moja Nilienda nae kupima, Na wote tukaonekana tuko sawa ila nashindwa kabisa kuelewa kwanini arisk maisha kiasi hiki!. Naombeni maarifa wenzangu nifanye nini.
tatizo lako mkuu ulijiona una miujiza sana yaani mtoto mkali kilaini tu uopoe instagram

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko Instagram ndiyo biashara inapofanyika so kuanzia mwanzo ulikosa kufall in love na mwanamke wa Instagram.

Ili myamalize vizuri muite hotel kama mteja kwa ujira wa hiyo 60,000 akiingia room atakukuta ni wewe mtajadili vizuri ndiyo ata-admit kuwa ni kazi yake na baada ya hapo mtakubaliana kuanzia sasa akuhudumie tu kwa malipo na sio ile ndoto ya mchana ya kuoa demu wa Instagram.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom