Siamini katika nafasi ya pili kwenye mahusiano

UrbanGentleman

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
2,585
1,883
Wakati mwingine kumpa mtu second chance katika mapenzi hasa hizi upcoming love na hata hizi love zilizo komaa ni sawa na kumpa kisu mtu akumalizie sabu kile alicho kuchoma mwanzo akikukupata vizuri. So kueni makini sana ndugu msije kua mnajifukia mngali hai.Once a person mess up with you tena kwa visingizio vya shetani,simple achana nae jipange upya.
 
ni kweli,,, ila msamaha unaitajikaga,,, je kama huko alikokuwa kapata funzo la vitendo hadi kuoneshw na Mungu kuwa yule uliye mkosea ndie wa maishan mwako anapokurudia hutomsamehe??
Sasa Mungu kamfunza mfano kakusababishia majanga
 
Mie mtu akizingua.. Ngumu kumpenda au kumuamin kama awali.. Akitaka tuendelee ajue kabisa hana nafasi kwangu namchukulia supu ya mbwa..

Mwanzo mara nyingi huwa neutral, so upendo utaongezeka au kupungua kutegemea na yeye anavyoact.. Akionesha love ya kutosha na mie rank zinapanda, akijambisha na mie mishuzi tu.
 
Wakati mwingine kumpa mtu second chance katika mapenzi hasa hizi upcoming love na hata hizi love zilizo komaa ni Sawa na kumpa kisu mtu akumalizie sabu kile alicho kuchoma mwanzo akikukupata vizuri. So kueni makini Sana ndugu msije kua mnajifukia mngali hai.. Once a person mess up with you tena kwa visingizio vya shetani,simple achana nae jipange upya.
kutoa second chance ni udhaifu
 
True. .......
 
Mie mtu akizingua.. Ngumu kumpenda au kumuamin kama awali.. Akitaka tuendelee ajue kabisa hana nafasi kwangu namchukulia supu ya mbwa..

Mwanzo mara nyingi huwa neutral, so upendo utaongezeka au kupungua kutegemea na yeye anavyoact.. Akionesha love ya kutosha na mie rank zinapanda, akijambisha na mie mishuzi tu.
Kumbe wewe unatoa nafasi ya pili Kama ni hivyo
 
Inategemea aisee mimi i believe in second chance na imework for me ,kwetu sisi tena ndo imeimarisha mapenzi na kuthamini mno penzi letu maana tulisambaratika kila mmoja akaenda njia yake lakini tukashindwa kusahauliana yani kila mmoja akawa anammisi mwenzie lakini unarudije baada ya muda kupita sana Mungu si Athumani tukakutana tukapiga story za kawaida tu sasa wakati wakuagana jamaa aliachia kiss moja hatari kwenye shingo ile kiss iliamsha hisia kali sana na hapo ndo tulipogundua bado tunapendana sana basi tukarudiana kwanguvu zote na mapenzi ya hali ya juu, na baada ya kutengana na kukutana na wengine ndio hapo nilipogundua kwamba duh kumbe nilikuwa namchukulia poa jamaa lakini kumbe alikuwa ananipenda sana kwahiyo nilipopata nafasi hii ya pili aisee sitaki fanya makosa tena na simchukulii poa tena yani nampenda mmno kuliko mwanzo, I am a second chance person and i believe in it
 
Wakati mwingine kumpa mtu second chance katika mapenzi hasa hizi upcoming love na hata hizi love zilizo komaa ni Sawa na kumpa kisu mtu akumalizie sabu kile alicho kuchoma mwanzo akikukupata vizuri. So kueni makini Sana ndugu msije kua mnajifukia mngali hai.. Once a person mess up with you tena kwa visingizio vya shetani,simple achana nae jipange upya.
Mkuu kama papuchi yake tamu hata 10 chances nitampa. Lakini ndoa nop
 
kuachana nakurudiana sio poa ! ila wakati mwingine unaangalia mmeachana mda gani? ndani ya miezi michache mnaweza kurudiana ila kwa umakini mkubwa maujinga alokuwa anayafanya mwanzo unavumilia usijaribu tena yaan chance alokupa ikujengee confidence! sometimes watu huachana kwa sababu za kijinga! hazina mashiko baadae akitafakari anaona kakosea hahaha .
 
Inategemea aisee mimi i believe in second chance na imework for me ,kwetu sisi tena ndo imeimarisha mapenzi na kuthamini mno penzi letu maana tulisambaratika kila mmoja akaenda njia yake lakini tukashindwa kusahauliana yani kila mmoja akawa anammisi mwenzie lakini unarudije baada ya muda kupita sana Mungu si Athumani tukakutana tukapiga story za kawaida tu sasa wakati wakuagana jamaa aliachia kiss moja hatari kwenye shingo ile kiss iliamsha hisia kali sana na hapo ndo tulipogundua bado tunapendana sana basi tukarudiana kwanguvu zote na mapenzi ya hali ya juu, na baada ya kutengana na kukutana na wengine ndio hapo nilipogundua kwamba duh kumbe nilikuwa namchukulia poa jamaa lakini kumbe alikuwa ananipenda sana kwahiyo nilipopata nafasi hii ya pili aisee sitaki fanya makosa tena na simchukulii poa tena yani nampenda mmno kuliko mwanzo, I am a second chance person and i believe in it
Uwazavyo wewe sivyo awazavyo yeye may b amerudi kwa kazi maalum ? You never know.mara nyingi mtu akiumizwa hukaa na wewe kimachale machale tu.
 
Back
Top Bottom