Siamini kama ni kweli

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao:

1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao.

2. Wasichana warefu huwa hawawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui kubembeleza hata kidogo.

3. Wasichana wenye DIMPOZ,MWANYA,M ATEGE MBINUKO,MAHIPS NA KITEMBE,hawa huongoza kwa kutokuwa WAAMINIFU katika mapenzi.

4. Wasichana WANENE huongoza kwa MAPENZI YA KWELI yaani akipenda amependa kweli.

5. Wasichana WEMBAMBA hawa huwa ni WABISHI sana na hawa wanaongoza kwa kutendwa.

6. Wasichana wenye NGOZI NYEUSIwanaongoza kwa KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe.

7. Wasichana weupe wakiongoza kwa kuzalia nyumbani, na hawa weupe weng wao huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda kuolewa na waarabu kulko wanaume weusi.
 
ukifuatilia kila mawazo ya watu wa jf unaweza usidumu kwenye mahusiano
any way kila mtu anakasoro na ukizitambua msaidie mwenzi wako sio kumuacha
viva Nazjaz
 
Last edited by a moderator:
No 5 imenitokea mara mbili na nilishawahi pendwa na dem bonge ila mi sikumpenda kabisa!
 
Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao:

1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao.

2. Wasichana warefu huwa hawawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui kubembeleza hata kidogo.

3. Wasichana wenye DIMPOZ,MWANYA,M ATEGE MBINUKO,MAHIPS NA KITEMBE,hawa huongoza kwa kutokuwa WAAMINIFU katika mapenzi.

4. Wasichana WANENE huongoza kwa MAPENZI YA KWELI yaani akipenda amependa kweli.

5. Wasichana WEMBAMBA hawa huwa ni WABISHI sana na hawa wanaongoza kwa kutendwa.

6. Wasichana wenye NGOZI NYEUSIwanaongoza kwa KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe.

7. Wasichana weupe wakiongoza kwa kuzalia nyumbani, na hawa weupe weng wao huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda kuolewa na waarabu kulko wanaume weusi.

Si kweli,tabia hutegemeana na mtu kwa mtu,au familia kwa familia,kulingalina na malezi ya mwanamke alivyolelewa au 'genes'za familia husika,tabia haihusiani na umbo
 
Back
Top Bottom