Kiukweli jana ilinibidi nipitie kitabu kitakatifu Qur'an tukufu na nikaanza kusoma tarekh (Hadithi) za Mitume waliotajwa ndani ya Qur'an nilijionea maajabu makubwa aliyoyafanya Allah kwa firauni baada ya kuwatesa wanaisraeli nikaona kisa cha Abi rahab ,nikasoma jinsi Ibrahimu alivyotolewa ndani ya Moto na maajabu mengine Makubwa mengi nikaanza kujiuliza tunakosea wapi?
Au tumelaaniwa?
Kwanini Mwenyezi Mungu Asishushe Adhabu zake kwa Utawala huu ?
Au
Nguvu yake imekwisha?
Mungu aliyepundua juu chini chini juu kipindi cha sodoma na gomora ni mwingine na huyu wa sasa Mwingine?
Infact Utawala huu ulitakiwa uadhibiwe na Mungu kama alivyomuadhibu firauni maana sisi wenyewe hatuwezi tumebakia kulalamika .
Mungu huko uliko kama unatusikia wanaislaeri wa Tanzania tunapata mateso makubwa hebu uonyeshee huu utawala utukufu wako .