Siamini kama Lowassa anaweza kuwa kiongozi mzuri wa Taifa hili

mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,913
916
Tangu nianze kufuatilia siasa za Lowasa sijawahi kuona sehemu hata moja ambayo inathibitisha kuwa Lowasa anaweza kuwa kiongozi mzuri wa kuwaongoza watanzania.

kwa kipindi kifupi alichokuwa waziri mkuu tulishuhudia mambo mengi ya hovyo yakiwepo maamuzi ya kukurupuka ambayo yeye alishaita maamuzi magumu ambayo hayakuwa kuwa na tija kwa watanzania.

Lowasa ameonesha uroho wa mali kwa kuwa mwizi wa wazi kabisa kwa kutumia nafasi yoyote anayoipata aidha kama waziri au kama mtendaji mkuu kwenye Taasisi yeyote ile.

Nadiriki kusema kuwa Lowasa ni kumuogopa kama ukoma siyo kiongozi mzuri hata kidogo.
 
Na wewe unatumia nafasi yoyote unayoipata kuhujumu akili za watu???
Miaka 50 bado wanasema lazima washinde..goli LA mkono..tuna maarifa..hii ni nini??UCHU NA UROHO WA MADARAKA kwa Chama Cha Mapinduzi..
Nchi ni ya Watanzania na mwaka huu tunachukua nchi yetu.
Hivi wewe unaishi wapi??mmeibiwa kila kitu na CCM afu bado mko kidete kuwashangilia..bogus sana we mjepo.
Tunadaiwa trillioni 35 bado unataka tuwaabudu hawa wezi wa rasilimali zetu??
Kura zinaibwa hata za maoni karibia kila jumbo bado mwawaona ni mashujaa??
Tatizo letu ni akili zetu wenyewe.Watu kama nyie ndo maana mkanyimwa elimu..mkapewa kilimo.Eti Kilimo kwanza!!Ebo
Mkulima atalima vipi kwa mafanikio bila elimu kwanza??
Embu kwenda zako huko na hoja dhaifu na za mifukoni.Hampiti Oktoba hata mfunge magoli ya makalio.
 
Tangu nianze kufuatilia siasa za Lowasa sijawahi kuona sehemu hata moja ambayo inathibitisha kuwa Lowasa anaweza kuwa kiongozi mzuri wa kuwaongoza watanzania.

kwa kipindi kifupi alichokuwa waziri mkuu tulishuhudia mambo mengi ya hovyo yakiwepo maamuzi ya kukurupuka ambayo yeye alishaita maamuzi magumu ambayo hayakuwa kuwa na tija kwa watanzania.

Lowasa ameonesha uroho wa mali kwa kuwa mwizi wa wazi kabisa kwa kutumia nafasi yoyote anayoipata aidha kama waziri au kama mtendaji mkuu kwenye Taasisi yeyote ile.

Nadiriki kusema kuwa Lowasa ni kumuogopa kama ukoma siyo kiongozi mzuri hata kidogo.

Duh hivi na wewe unajiita nwanaume kabisa kwa upashukuna ulionao kama huu?
 
Huitaji kwamin bali nikujua kwamba aliekua anafaa kikwete ndo kaua chama chenu ccm
 
Tangu nianze kufuatilia siasa za Lowasa sijawahi kuona sehemu hata moja ambayo inathibitisha kuwa Lowasa anaweza kuwa kiongozi mzuri wa kuwaongoza watanzania.

kwa kipindi kifupi alichokuwa waziri mkuu tulishuhudia mambo mengi ya hovyo yakiwepo maamuzi ya kukurupuka ambayo yeye alishaita maamuzi magumu ambayo hayakuwa kuwa na tija kwa watanzania.

Lowasa ameonesha uroho wa mali kwa kuwa mwizi wa wazi kabisa kwa kutumia nafasi yoyote anayoipata aidha kama waziri au kama mtendaji mkuu kwenye Taasisi yeyote ile.

Nadiriki kusema kuwa Lowasa ni kumuogopa kama ukoma siyo kiongozi mzuri hata kidogo.

Basi tutakupa wewe uongozi
 
mchezaji anacheza katika timu ipi na inayofuata mfumo upi Wenye safu ipi ya wachezaji. HAPO NDIo Unaweza jua mchezaji atafanikiwa au la. Wazuri wangapi ccm wamepita ndio wametufikisha hapa. Huna hoja tafuta nyingine. oct 25 ccm na mfumo wake wa kifisadi out. wazee wenu akina Warioba warijaribu kusafisha chama mkawatukana. sasa ni out out..... msituletee porojo out go.....
 
Sio wote tunaomshabikia LOWASA ni kwamba tunampenda...bali kwa sasa yeye ni mtu pekee ambaye anaweza kuiangusha CCM....hayo mambo mengine ni mbele kwa mbele...itafahamika lakini cha msingi kwanza CCM iondoke madarakani....

Hatutafuti wa kuiangusha CCM bali twatafuta kiongozi makini wa Taifa hili .. kama hayupo basi tusitishe mchakato lakini si kufanya ilimradi, hatujafika sehemu ya kukata tamaa kiasi hicho na mwanadamu unafundishwa kutokukata tamaa tena mwanaume, wanawake wakate tamaa na wewe mwanaume ukate tamaa alafu iweje?
 
Nilimchukia sana Lowass a lakini lakini nalazimika kumpenda, hakuna namna, ndio Rais

Ulitenda dhambi kumchukia mtu bila sababu ..unatakiwa kutubu, tuachie sie wenye sababu tuendelee kumchukia Lowassa kwasababu tunazo sababu za kufanya hivyo.
 
Tuambie ni mambo gani ya hovyo aliyafanya tokea akiwa waziri wa kawaida hadi anakuwa waziri mkuu, kama hujui shut up and keep quiet
 
Jamaa amenunua magazeti yana mpamba

Vp uliiona nyomi jana?..anunue magazeti yampambe kivipi wakati waandishi wa habari walikuepo na wanaona!..wanalazimika kukiandika kilichotokea yaani ni live bila chenga!..maccm sumu inawaingia..wanakufa polepole..ikifika october25..ni asubuhi tu kwisha kazi..nasikia huko vijijini ndo balaa..ni lowasa tu!
 
Back
Top Bottom