Gari Moshi
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 679
- 419
Utaperi hakuna masharti,wana deal zao hao kwanini dhamana isilingane na pesa iliyo kopwa?Na imani hivyo walivyo weka kwa mjumbe tu vinge tosha kulipa mkopo huo.Mbona mimi 1,000,000 niliweka Redio na vitu vitu tu nyumba wakakataa,Huyo aliye andikisha dhamana ni mjanja mjanja.Kama kuna jambo kama hili limetokea ukweli basi mwenye kosa ni mkopaji. Ukikopa dawa yake ni kulipa na siyo kuelezea matatizo yaliyokukuta. Hakuna cha kuibiwa na mke wako wala kuibiwa na mama mzazi ni lazima ulipe umalize deni. Ndiyo maana wahenga walisema kukopa ni harusi na kulipa ni matanga. Kwani hakusoma masharti ya mkopo wakati anakopa? Na kama alisoma, yalisemaje?