Siamini kama JF nayo ina wenyewe!

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,285
heri kwenu wandugu, mods, mamemba na msio mamemba. nimelazimika kujiunga jf, kwa vile so far sijasikia tamko kuwa jf ina wenyewe. natania tu jamani, naombeni ukaribisho wenu!
 
karibu sana ndugu, jiskie nyumbani, na wewe umekua mmoja kati ya "wenye JF".
 
heri kwenu wandugu, mods, mamemba na msio mamemba. nimelazimika kujiunga jf, kwa vile so far sijasikia tamko kuwa jf ina wenyewe. natania tu jamani, naombeni ukaribisho wenu!
hio ni motto wa ccm ..humu jf ni yako pia hata kabla hujajiunga
 
heri kwenu wandugu, mods, mamemba na msio mamemba. nimelazimika kujiunga jf, kwa vile so far sijasikia tamko kuwa jf ina wenyewe. natania tu jamani, naombeni ukaribisho wenu!
Kichwa chako cha thread kina mvuto, karibu sana jamvini ni imani yangu hutajutia kabisa kujiunga na JF bali utajilaumu kwa nini umechelewa. Mwisho jiandae kuzikabili changamoto mbali mbali za jukwaani.
 
inshallah nimejiandaa, kwani changamoto ni sehemu ya kujifunza!
 
heri kwenu wandugu, mods, mamemba na msio mamemba. nimelazimika kujiunga jf, kwa vile so far sijasikia tamko kuwa jf ina wenyewe. natania tu jamani, naombeni ukaribisho wenu!
Mbona umekuja kilawama hivyo .?? JF ina wenyewe na wenyewe ni wote wanaosoma kilichomo, wanaochangia na wasiochangia mada za humu ndani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom