Siamini kama idadi ya wajumbe wa CC ya Nccr mageuzi wanawazidi hawa Wananchi waliojazana kwa Mkapa kumpokea Manara!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,886
141,816
Watu ni wengi, wengi wengi mno sijajua kama tahadhari za Corona alizotangaza RC Makala kama zinazingatiwa ama la.

Aisee watu ni wengi mno na wamebanana sana sijajua kama kikao cha kamati kuu ya Nccr mageuzi kilichozuiliwa kilikuwa na umati wa wajumbe kama ninaowaona hapa Lupaso.
 
Watakuwa walikuwa wengi kuzidi hii ya WENENCHIIIIII

Regulatory Committee (RC) ameruhusu hawa wachache waje kwa Nkapa
 
Watu ni wengi, wengi wengi mno sijajua kama tahadhari za Corona alizotangaza RC Makala kama zinazingatiwa ama la.

Aisee watu ni wengi mno na wamebanana sana sijajua kama kikao cha kamati kuu ya Nccr mageuzi kilichozuiliwa kilikuwa na umati wa wajumbe kama ninaowaona hapa Lupaso.
Hao ni WANANCHI wewe! Na wapo hapo uwanjani kwa ajili ya jambo lao!! Na siyo kwa sababu ya Haji Manara, kiumbe mdogo kabisa ndani ya Klabu yetu.
 
Kha Manara anapokelewa kutoka Wapi Ilala au Kariakoo au Mkwajuni,au karidi toka Tanga kuloga
 
W
"Watanzania wengi tuna hasira na chuki..." Mbatia.
Leo nimeshuhudia uzinduzi vijana marathon DSM na Kihongosi CCM ,wamesongamana Bila tahadhari uviko, tofauti na plan Nccr! Lazima tuwe na hasira RIP Jemedari Hamza.
 
Back
Top Bottom