SI Zitto,makamba,mwigulu pekee ndio wapo list ya vijana wanaotaabika na kuua nchi kwa kukosa culture


Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Kwa haraka utaona baadhi ya vijana wakiwa na shida nyingi sana na sasa wana drag taifa kuanguka nao.Vijana wetu maarufu sana ktk hadhira yetu ni akina Zitto,Makamba,mwigulu, etc....ndio wapo ktk public scrutiny.


Kupunguza maneno naweza sema vijana wasomi na wasiosoma, na watu wengine waliopaswa kuwa wamekomaa wamefikia mahakali wanaanza pull back taifa,kwa kukosa CULTURE,kukosa values ambzo zinadefine personalities za watu na mahusino yao na watu wa makundi mbalimbali ktk taifa.Watanzania wanakosa sana hii kitu.Sasa hivi wanabeba beba vitu njiani na kudhani kuwa ni vyao,wanakusanyakusanya philosophies, psychologies, politics, zilizochanganyika,na hawawezi zitumia wala kuzielewa.Pia hawakuwahi jua kuwa walipaswa kuwa na uwezo wa kuchagua na kuamini fikra fulani walizozielewa na kuzifuata, hawakufunzwa kuamini misingi fulani(school of thoughts) kwa moyo mkunjufu na uamini na uchenyekevu.

Hawa watoto wa dot.com na wazee wao hawana ustaarabu/utamaduni(Culture/civilization) kabisa, na hawakuwahi jua ustaarabu gani unaweza kuwa na manufaa ktk taifa ili wajifunze,waamini, nakuushika.

Kwa bahati mbaya sana ni watanzania wengi sana wana mseto wa fikra,tena hawa wenye mseto wa fikra ,---- zilizochanganyikiwa kabisa ndio wameshikilia nchi, ndio wanalazimisha ushawishi,ndio wanataka waongoza wengine na hali hiyo ya kuchanganyikiwa.Wenye kuelewa vitu fulani wanabaki wakishangaa....

Nasikitika kusema kuwa Nchi ustaarabu/utamaduni(culture/civilization ) hawana.Kwa ujumla ni watu ni washenzi na barbaric sana.Wasiojua culture yao inapoishia ili wakichukua ingine wajue wapi pa kuanzia na kuiachia.

Hiii ni taabu sana.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
siku hizi hadi serikali haina culture....haina mfumo wa siasa na kiuchumi ktk hili soko huria na utandawazi.Hawana values zitakazowapeleka ktk dunia km dira.
 
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
5,650
Likes
35
Points
145
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
5,650 35 145
Iwapo hao akina Zitto, Makamba na muuaji Mwigulu ndio tegemeo la taifa ni afadhali tuendelee kuongozwa na wazee!
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Iwapo hao akina Zitto, Makamba na muuaji Mwigulu ndio tegemeo la taifa ni afadhali tuendelee kuongozwa na wazee!
Wazee nania sasa?Komba, Wassira,Pinda,Membe, Ashamigiro, Muhongo, Mungai....?Yupi kati yao ana Civility au culture inayoweza mguide ktk dunia ya leo?Sasa km wote nao hawajui maana ya democrasia,umuhimu wake, nini mfumo wetu w akiuchumi,kisiasa, na wapi nchi inakwenda, hawajui kulinganish atamaduni za wengine na za kwetu ili wajue nini kinafanikiwa kwetu,nini siyo...wao nikutembea kila mahali na kuha na issue za mud amfupi km watoto wanaotaka onyeshana ujanja kwa kuwahi taja majina ya movie wanazodhanini kali na wengine hawajwahi ziona.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Magamba wote hawana culture ndio maana wanakosa values muhimu kuwafanya wawe watu wenye maana
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Iwapo hao akina Zitto, Makamba na muuaji Mwigulu ndio tegemeo la taifa ni afadhali tuendelee kuongozwa na wazee!
haha haa...pengine magufuli amwandalie makamba nchi ..mwigulu na wengine wamenywea sana wasijejulikana km walikuwa na mwalimu aliyesulubiwa.
 
gnassingbe

gnassingbe

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Messages
4,018
Likes
2,075
Points
280
gnassingbe

gnassingbe

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2015
4,018 2,075 280
Mimi sijaielewaelewa hivi ishu ya mleta uzi lakini nimejaribu kuwasikiliza kidogo wanachosema hao vijana wanaoshutumiwa kuna nilioyaona ila sijui kama ni sahihi kuwabeza na mawazo yao yawe forgranted im not sure
 

Forum statistics

Threads 1,275,059
Members 490,894
Posts 30,531,755