mmarwa peter
Member
- Sep 8, 2016
- 7
- 8
Watengeneze Gari zisisotumia betri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mtumishiNasisitiza kimbia sana
Kwa hiyo hii ajali kwako ni mkono wa Muumba?? Yaani ni kipigo?? Ni kwa vile imetokea mbali na kwenyu, ukadhani hakuna mtu wa kwenu aliungua?? Tema mate chini, usijesikia nduguyo mmoja hajulikani aliko kumbe naye ni miongoni mwa marehemuBado nakataa. Kilichosababisha watu kukimbilia kuchota mafuta siyo maisha magumu. Ni tabia na utamaduni mbaya wa wizi uliojenga kwenye mioyo ya watanzania wengi. Siku hizi sehemu nyingi zenye ajali watu wanakimbilia kuiba. Imashekuwa kama sehemu ya utamaduni wetu.
Umekuja kwa style ya watanzania wengi ya kulisha watu maneno wanapoona wameshindwa. Ni wapi nimesema kuwa ajali ni mkono wa Muumba? Naomba unionyeshe! Ni wapi nimesema ni kipigo? Umejuaje kuwa imetokea mbali na mimi? Umejuaje kama sina ndugu wanaoishi karibu na tukio la ajali? Conclusion yako inapotosha maelezo yangu kabisa kabisa. Mimi nimesema hivi: utamaduni wa watanzania kupenda kutumia fursa ya ajali kuiba ndiyo chanzo hasa cha tatizo lililotokea. Siyo umaskini tu kwani kuna maskini wengi huwa hawaibi!Kwa hiyo hii ajali kwako ni mkono wa Muumba?? Yaani ni kipigo?? Ni kwa vile imetokea mbali na kwenyu, ukadhani hakuna mtu wa kwenu aliungua?? Tema mate chini, usijesikia nduguyo mmoja hajulikani aliko kumbe naye ni miongoni mwa marehemu
Au kwa maneno rahisi tu ni; Wezi wa moro wamekwisha kwa kuungua moto wakiiba mafuta.Umekuja kwa style ya watanzania wengi ya kulisha watu maneno wanapoona wameshindwa. Ni wapi nimesema kuwa ajali ni mkono wa Muumba? Naomba unionyeshe! Ni wapi nimesema ni kipigo? Umejuaje kuwa imetokea mbali na mimi? Umejuaje kama sina ndugu wanaoishi karibu na tukio la ajali? Conclusion yako inapotosha maelezo yangu kabisa kabisa. Mimi nimesema hivi: utamaduni wa watanzania kupenda kutumia fursa ya ajali kuiba ndiyo chanzo hasa cha tatizo lililotokea. Siyo umaskini tu kwani kuna maskini wengi huwa hawaibi!
Hwajaisha. Kama nilivyosema na kama umesoma vizuri: tabia ya kukimbilia kwenye ajali kwenda kuiba imekuwa ni utamaduni wetu watanzania. Popote itakapotokea ajali watu wakiona kuna mali yenye thamani au fedha wanakimbilia kuiba.Au kwa maneno rahisi tu ni; Wezi wa moro wamekwisha kwa kuungua moto wakiiba mafuta.
hy No 3 sasa ukidondokewa na dari c ndo utaungua vzr.! enway naona hakuna jambo la maana kat ya uliyoandika.
blanketi kwa moto mdogo tu kwenye sufuria yako, sasa moto unawaka mtaa mzima kwa ghafla ww uanze kazi ya blanket ??
Hili ndo jibu sahihi na uzi uishie hapaHuduma ya kwanza ukiona lori la mafuta limeanguka na mafuta yanamwagika ,kimbia kama umeona simba. Nasisisitiza ,kimbia kabisa.
Eti blanketi!!!
Muandishi wa thread sidhani kama ana akili timamu kaandika kijinga sana
Wewe ni kakaake na yule mchomoa betri?Pakitokea Ajali yoyote ya Moto hii ndiyo Huduma ya Kwanza katika Kujiokoa:
1. Tafuta haraka sana Blanketi kwani Blanketi ndiyo Kiboko ya Moto unaomuwakia au kumuunguza Mwanadamu
2. Ukiwa Mwili wako umeshika Moto lala chini upesi na biringita huo Moto utazima upesi sana
3. Ukiwa ndani ya Jengo lililoshika Moto hakikisha uwe unatambaa na kamwe usisimame
Mimi nimezipata hizi ila naomba na wengine pia kama mna zenu mziweke hapa ili Safari ijayo hata kama Teja atachomoa Betri basi wengi tutapona na tusife kisha tukapunguza idadi ya Wapiga Kura, Washangiliaji wa Simba na Yanga na hata Kuitia Hasara Serikali ( Nchi ) kusudi Pesa zingine ziende katika Maendeleo.