Si vibaya ' tukishea ' Elimu hii pamoja ili Siku zingine Teja ' akichomoa Betri ' tusiipe Hasara Tanzania yetu.

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
13,347
Points
2,000

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
13,347 2,000
Bado nakataa. Kilichosababisha watu kukimbilia kuchota mafuta siyo maisha magumu. Ni tabia na utamaduni mbaya wa wizi uliojenga kwenye mioyo ya watanzania wengi. Siku hizi sehemu nyingi zenye ajali watu wanakimbilia kuiba. Imashekuwa kama sehemu ya utamaduni wetu.
Kwa hiyo hii ajali kwako ni mkono wa Muumba?? Yaani ni kipigo?? Ni kwa vile imetokea mbali na kwenyu, ukadhani hakuna mtu wa kwenu aliungua?? Tema mate chini, usijesikia nduguyo mmoja hajulikani aliko kumbe naye ni miongoni mwa marehemu
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
10,382
Points
2,000

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
10,382 2,000

Umekuja kwa style ya watanzania wengi ya kulisha watu maneno wanapoona wameshindwa. Ni wapi nimesema kuwa ajali ni mkono wa Muumba? Naomba unionyeshe! Ni wapi nimesema ni kipigo? Umejuaje kuwa imetokea mbali na mimi? Umejuaje kama sina ndugu wanaoishi karibu na tukio la ajali? Conclusion yako inapotosha maelezo yangu kabisa kabisa. Mimi nimesema hivi: utamaduni wa watanzania kupenda kutumia fursa ya ajali kuiba ndiyo chanzo hasa cha tatizo lililotokea. Siyo umaskini tu kwani kuna maskini wengi huwa hawaibi!
 
Au kwa maneno rahisi tu ni; Wezi wa moro wamekwisha kwa kuungua moto wakiiba mafuta.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
10,382
Points
2,000

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
10,382 2,000
Au kwa maneno rahisi tu ni; Wezi wa moro wamekwisha kwa kuungua moto wakiiba mafuta.
Hwajaisha. Kama nilivyosema na kama umesoma vizuri: tabia ya kukimbilia kwenye ajali kwenda kuiba imekuwa ni utamaduni wetu watanzania. Popote itakapotokea ajali watu wakiona kuna mali yenye thamani au fedha wanakimbilia kuiba.
 
cleverbright

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Messages
1,742
Points
2,000

cleverbright

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2015
1,742 2,000
Muandishi wa thread sidhani kama ana akili timamu kaandika kijinga sana
Katika Kiswahili Sanifu hakuna neno la ' Muandishi ' bali tuna neno la ' Mwandishi ' ila nashukuru umeweza Kuthibitisha jinsi ulivyo Mpumbavu. Sasa kama Kuandika tu vizuri hilo neno la Kiswahili limekushinda je utaweza kweli Kujenga Hoja na Mimi?
 
kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
15,229
Points
2,000

kichomiz

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
15,229 2,000
Pakitokea Ajali yoyote ya Moto hii ndiyo Huduma ya Kwanza katika Kujiokoa:

1. Tafuta haraka sana Blanketi kwani Blanketi ndiyo Kiboko ya Moto unaomuwakia au kumuunguza Mwanadamu
2. Ukiwa Mwili wako umeshika Moto lala chini upesi na biringita huo Moto utazima upesi sana
3. Ukiwa ndani ya Jengo lililoshika Moto hakikisha uwe unatambaa na kamwe usisimame

Mimi nimezipata hizi ila naomba na wengine pia kama mna zenu mziweke hapa ili Safari ijayo hata kama Teja atachomoa Betri basi wengi tutapona na tusife kisha tukapunguza idadi ya Wapiga Kura, Washangiliaji wa Simba na Yanga na hata Kuitia Hasara Serikali ( Nchi ) kusudi Pesa zingine ziende katika Maendeleo.
Wewe ni kakaake na yule mchomoa betri?
 
Forum statistics

Threads 1,356,751
Members 518,934
Posts 33,136,320
Top