Si vibaya ' tukishea ' Elimu hii pamoja ili Siku zingine Teja ' akichomoa Betri ' tusiipe Hasara Tanzania yetu.

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,733
Pakitokea Ajali yoyote ya Moto hii ndiyo Huduma ya Kwanza katika Kujiokoa:

1. Tafuta haraka sana Blanketi kwani Blanketi ndiyo Kiboko ya Moto unaomuwakia au kumuunguza Mwanadamu
2. Ukiwa Mwili wako umeshika Moto lala chini upesi na biringita huo Moto utazima upesi sana
3. Ukiwa ndani ya Jengo lililoshika Moto hakikisha uwe unatambaa na kamwe usisimame

Mimi nimezipata hizi ila naomba na wengine pia kama mna zenu mziweke hapa ili Safari ijayo hata kama Teja atachomoa Betri basi wengi tutapona na tusife kisha tukapunguza idadi ya Wapiga Kura, Washangiliaji wa Simba na Yanga na hata Kuitia Hasara Serikali ( Nchi ) kusudi Pesa zingine ziende katika Maendeleo.
 
Kuna haja mamlaka kuja na kanuni ili tankers zote zitegenezewe namna mabetri yafichwe kwenye kama "kasanduku" ka chuma na paweko na padlock.

Hii nchi wajinga wengi mno tayari nimesikia wakisema Mungu ndiye alipanga wafe kifo cha aina hiyo.
 
Kwa pale msamvu blanket lingepatikana muda gani na moto umelipuka kama bomu.
Mbona waokoaji wenye taaluma ya majanga kama moto hawakuja na hayo ma blanket

Nimeleta huu Uzi hapa ili tujifunze kwa faida ya baadae na sijauleta ili uanze Kunishambulia Mimi kana kwamba ndiyo Teja Mchomo Betri. Siku zingine muwe mnasoma Kwanza Uzi, Muuelewe ndipo mjibu na siyo Kukurupuka kama hivi halafu mnajikuta naanza Kuwapuuzeni. Huu ni Uzi wa Kusaidiana na siyo wa Kulaumiana kama una Stress zako za Kimaisha mlalamikie Mwenyezi Mungu na siyo Mimi sawa?
 
hy No 3 sasa ukidondokewa na dari c ndo utaungua vzr.! enway naona hakuna jambo la maana kat ya uliyoandika.
 
Pakitokea Ajali yoyote ya Moto hii ndiyo Huduma ya Kwanza katika Kujiokoa:

1. Tafuta haraka sana Blanketi kwani Blanketi ndiyo Kiboko ya Moto unaomuwakia au kumuunguza Mwanadamu
2. Ukiwa Mwili wako umeshika Moto lala chini upesi na biringita huo Moto utazima upesi sana
3. Ukiwa ndani ya Jengo lililoshika Moto hakikisha uwe unatambaa na kamwe usisimame

Mimi nimezipata hizi ila naomba na wengine pia kama mna zenu mziweke hapa ili Safari ijayo hata kama Teja atachomoa Betri basi wengi tutapona na tusife kisha tukapunguza idadi ya Wapiga Kura, Washangiliaji wa Simba na Yanga na hata Kuitia Hasara Serikali ( Nchi ) kusudi Pesa zingine ziende katika Maendeleo.
blanketi kwa moto mdogo tu kwenye sufuria yako, sasa moto unawaka mtaa mzima kwa ghafla ww uanze kazi ya blanket ??
 
Mkuu ushawahi kung'atwa na nyuki? Akili hizo huja ukiwa haupo kwenye majanga.

hakuna mtu mwenye hisia kali za kujinasua kama mtu aliye karibu na kufa, waliokufa wote walipambana hasa ila imekataa na ukumbuke pale ni eneo la wazi na imeshindikana, achana na blanket tuombe isitukute tu.
 
Nimeleta huu Uzi hapa ili tujifunze kwa faida ya baadae na sijauleta ili uanze Kunishambulia Mimi kana kwamba ndiyo Teja Mchomo Betri. Siku zingine muwe mnasoma Kwanza Uzi, Muuelewe ndipo mjibu na siyo Kukurupuka kama hivi halafu mnajikuta naanza Kuwapuuzeni. Huu ni Uzi wa Kusaidiana na siyo wa Kulaumiana kama una Stress zako za Kimaisha mlalamikie Mwenyezi Mungu na siyo Mimi sawa?

Majina ya kina cleverbright hayapo hivyo mkuu mbona wewe ndio unalalamika sasa.
Mimi nimekuuliza swali kama haya mablanket ndio tiba ya kuzima moto kwanini wale wataalamu wa kuokoa pale moro hawakuja nayo ili wawafunike wahanga wa moto.
Kuvua nguo inaweza kusaidia lakini sio ujiongezee blanket huoni kama utakaribisha moto mwingine
 
Nimeleta huu Uzi hapa ili tujifunze kwa faida ya baadae na sijauleta ili uanze Kunishambulia Mimi kana kwamba ndiyo Teja Mchomo Betri. Siku zingine muwe mnasoma Kwanza Uzi, Muuelewe ndipo mjibu na siyo Kukurupuka kama hivi halafu mnajikuta naanza Kuwapuuzeni. Huu ni Uzi wa Kusaidiana na siyo wa Kulaumiana kama una Stress zako za Kimaisha mlalamikie Mwenyezi Mungu na siyo Mimi sawa?
Ungetoa tu darasa la jinsi ya kujikinga na moto, na si kutumia teja kuchomoa betri. Ni uandishi kanjanjaa niliouona toka kwako.
 
Kuna haja mamlaka kuja na kanuni ili tankers zote zitegenezewe namna mabetri yafichwe kwenye kama "kasanduku" ka chuma na paweko na padlock.

Hii nchi wajinga wengi mno tayari nimesikia wakisema Mungu ndiye alipanga wafe kifo cha aina hiyo.
Kwa wabongo hata betri ivichwe kwenye kisanduku watavunja na shoka tu na ndo moto utalipuka mapema kabla hata awajaiba vizuri mafuta yenyewe
 
Mkuu ushawahi kung'atwa na nyuki? Akili hizo huja ukiwa haupo kwenye majanga.
Aaaaaaah, umenikumbusha mbali sana, kuna siku nilikua Milimani, Moro (Milima ya Uluguru), Nilikuwa nakimbiza mbuzi (zilikata kamba), Nyuki zilitanda kwenye kisiki(Sikujua), Mimi na mbuzi tukapita hapo hapo kwenye nyuki. Kilichotokea, Akili ziliniama, makamasi ya kutosha, mwili ulikufa ganzi ghafla. Mwili wangu wote mpaka kwapa zilikua na nyuki, nilikua naendelea kukimbia tu uku nikigonga miti. Kuishi tu ni ajari tosha.
 
kumbe shida ni betri .
Betri zikifichwa alafu gari likadondoka waendelee tena kuchota mafuta?
Kuna haja mamlaka kuja na kanuni ili tankers zote zitegenezewe namna mabetri yafichwe kwenye kama "kasanduku" ka chuma na paweko na padlock.

Hii nchi wajinga wengi mno tayari nimesikia wakisema Mungu ndiye alipanga wafe kifo cha aina hiyo.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom