Bila shaka ni jambo ambalo limemfedhehesha sana Dr Mahiga na mkewe kwa ujumla. Fikiria ndo angekuwa mkeo. Mwanaume mwingine kwa kuwa tu amekuteua na kukupa cheo ndo awe na nguvu hadi ya kumbania pua mkeo na kuigiza sauti. N a mwisho kusema ebooo! Jamani inauma sana