Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
Huwa napata shida kuwa elewa watu wanaotumia makosa ya Magufuli kuhalalisha makosa ya JK.
Najua watz wote tuna shida ya kufykiri rationally ila siwezi kaa kimya watu wa uendelee kupandisha mzuka na kuanza palikuwa propaganda za kipuuzi.
JK alikuwa na mapungufu yake yalisemwa na yatasemwa. Magufuli ndio kaingia tayari shida zake zipo wazi na nyingine zilishasemwa mapema tuu. Pamoja na haya yote si mngependa wapuuzi wenye fikra za kijamaa watudanganye hadi tuone tunahitaji washukuru hawa viongozi kwa wao kushindwa zuia haki zetu wanazo tamani sana zifinya.
Nani hajui si vyote ktk haki zetu tulivyovipata hata kiduchu viliachiwa kwa ridhaa ya jk. By the way hatu kuhitaji ridhaa yake. Vingi ni udhaifu wa jk ktk mambo mengi ndio iliyipelekea kushindwa fanya haki.
So next time wapuuzi wakija na hoja mgando za ugambani. Wenye ufahamu muwakimbize.
Makosa ya JPM yanatukumbusha uharibifu wa Ccm ktk nchi na shida tuliyo nayo kuendelea na CCM na si kuhalalisha makosa mabaya na vidonda visivyotibika alivyosababisha jk.
Very soon kwa udhaifu wa CCM, hii dhana itazaa mgawanyiko kidini ktk ccm. Halafu watumie nguvu na rasilimali bila busara kuzimisha moto.