Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 7,971
- 13,605
Soka linalopigwa na BvB, Manchester city na Juventus Turin kwa sasa pale ulaya ni bora na zuri. Zile zama za kina Barcelona na Real Madrid zimefika mwisho.
Kwa mtu aliyeangalia game za Juventus, Man city na BvB kwa siku za karibuni ataelewa nini namaanisha.
Poleni Barcelona, poleni Real Madrid, Poleni Bayern Munich.
Kwa mtu aliyeangalia game za Juventus, Man city na BvB kwa siku za karibuni ataelewa nini namaanisha.
Poleni Barcelona, poleni Real Madrid, Poleni Bayern Munich.