sijawahi kuona mtu kafa kisa hajaoa
ila tumeona wengi wamekufa kisa walikosea kuoa
Screenshot_20220710-192054_Chrome.jpg
Screenshot_20220710-192155_Chrome.jpg
 
Kijana husika na kichwa hapo juu.

Kumekuwa na wimbi kubwa Sana la vijana wa kileo nikiwemo Mimi kwamba katutaki kuoa kutokana na masekeseke mengi waliyonayo hawa mademu.

Ila ukweli mchungu ni kwamba tutaoa Tu.. tutake tusitake tujiandae tu Kwa hilo hakuna namna sasa.

Narudia tena... TUTAKE TUSITAKE TUTAOA TUUU.

NI WAY OUT.
Na tukishaona oa tuachanana tu tutake tusitake hii ni formula
 
Kwakweli vijana msioe, tafuta watoto ufanye mambo yako yatakupa furaha, kuoa ni kujivika mabomu makubwa sana na kujisogeza karibu na kifo, hata Wanasayansi wakubwa wenye akili timamu hawakuoa, if you want to achieve grater things tafuta mwanamke mwenye akili au usioe kabisa...

Pitapita zangu baada ya shughuli nimekaa na mwana mmoja tunapanga mipango bodaboda ikashuka imebeba mdada mida ya saa 12 jioni, nikamwambia boda akirudi anipitie...

Alivyorudi akanambia broo unajua nini? Nikamjibu sijui!!! Broo sidhani kama nitaoa nikamuuliza kwanini? akajibu unamuona huyu mdada nimeshuka nae? Nikamjibu ndio, akasema huyu binti amekuja sokoni kuemea Buhongwa hapo akapigiwa simu na hawara yake akaacha kapu la mboga kwa muuza mboga akadaka boda chap ili awahi kuchezea kongamano. Nikamuuliza amejuaje ni mke wa mtu? Akasema anamjua vizuri alafu kavaa na pete, then akamwambia boda baada ya d.k 15 atampigia amfate amchukue.....

Nikwamwambia boda wazo lako ni sahihi imagine hapo mwanamke anarudi home mkavuuu kabeba kapu la mboga kumbe katoka kuchezea "boloyang"

Kuoa ni kujivika mabomu kudadeki
 
Kwakweli vijana msioe, tafuta watoto ufanye mambo yako yatakupa furaha, kuoa ni kujivika mabomu makubwa sana na kujisogeza karibu na kifo, hata Wanasayansi wakubwa wenye akili timamu hawakuoa, if you want to achieve grater things tafuta mwanamke mwenye akili au usioe kabisa...
Pitapita zangu baada ya shughuli nimekaa na mwana mmoja tunapanga mipango bodaboda ikashuka imebeba mdada mida ya saa 12 jioni, nikamwambia boda akirudi anipitie...

Alivyorudi akanambia broo unajua nini? Nikamjibu sijui!!! Broo sidhani kama nitaoa nikamuuliza kwanini huyu binti amekuja sokoni kuemea buhongwa hapo akapigiwa simu na hawara yake akaacha kapu la mboga kwa muuza mboga akadaka boda chap ili hawai kuchezea kongamano. Then kamwambia boda baada ya d.k 15 atampigia amfate amchukue.....

nikwamwambia boda wazo lako ni sahii imagine hapo mwanamke anarudi home mkavuuu kabeba kapu la mboga kumbe katoka kuchezea "boloyang"

Kuoa ni kujivika mabomu kudadeki
Acha woga kijana utu uzima dawa usiogope kuvaa bomu
 
Kumbe unaishi buhongwa
 
39 Reactions
Reply
Back
Top Bottom