Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,547
- 112,466
Kama we imekuua pole, mimi nipo nayo siiachi leo siiachi kesho....Madam ACHANA na NDOA zitakuua.
ENJOY LIFE.
#YNWA
Kama we imekuua pole, mimi nipo nayo siiachi leo siiachi kesho....Madam ACHANA na NDOA zitakuua.
ENJOY LIFE.
#YNWA
Amesema mfumuko wa bei upo dunia nzima.Nasubiri summary .
Nasubiri summary .
Ulipotea sana mkuuAiseee wanakuja...
Ngoja tuzidi kusaka hela zilizopungua
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Pole sana maimuna..kunachofata hapo ni usingo maza ukae ulee watoto..mana unatafuta mali kwenye mapenzi sio upendo.Babu yangu alioa wanawake Saba,na kila mmoja akazaa nae watoto kumi na mbili,na kila mmoja alijengewa nyumba na kupewa shsmba la ekari mbili.
Mengi uliyoyataja ni mahitaji ya kawaida ya mwanamke.
Je Kuna wanawake wabaya,gold diggers,yees wapo wengi!!!je Kuna ndoa zinazoumiza wanaume,zipo kibao,
Je Kuna ndoa na wanawake wazuri,?wapo weeengi tu.
Lakini Cha msingi tangu Dunia iumbwe,hakuna ndoa isiyo na matatizo!!!
Kuna ubaya gani binti,kutaka kuolewa na mtu mwenye uwezo au na mwelekeo wa kipato!?sasa unataka aolewe na kapuku,harafu uzao wake nao uishi kwa shida!umetoka familia maskini,umesoma kwa shida,uolewe Tena na kapuku harafu wanao Tena waishi maisha magumu!!!
Kijana Bado hujakomaaa,kama unatsfuta mwanamke wa kukupenda kwa mspenzi ya muvi za kifilipino na kihindi,usioe kabisa.
Ndoa ni maisha halisi sio maagizo,unaishi na binadamu sio maraika.
Nakutengezea audio yakeGazetii siwezi soma yawee
PointNdoa ni kama kipindi darasani, wanandoa hasa Mwanamke anaomba mwalimu amalize haraka ili kiishe afanye mambo mengine.
Ndoa inahitajika commitment na sacrifice vitu ambavyo mwanamke hawezi kuvifanya simply hawezi japo atataka wewe mwanamume ujicommit na usacrifice kwake
Inachekesha...
Umenifurahisha uliposema wanaume wengi now wanawajua wanawake vizuri, malofa ni wachache sana... heko kwa men’s channels, Redpill na MGTOW( men going their own way)huko Youtube na MMU hapa JF
Mwanaume lofa ni yupi?? Ni yule anaeendeshwa na nyege hivyo kuishia kutawaliwa na wanawake BADALA ya kuangalia Maslahi yake binafsi hata kwenye mahusiano anayoiingia
Mkuu kwahio Mapenzi ni pesa??Babu yangu alioa wanawake Saba,na kila mmoja akazaa nae watoto kumi na mbili,na kila mmoja alijengewa nyumba na kupewa shsmba la ekari mbili.