Si niliwaambia msioe, ila hamkusikia; Naongea na wewe mwanaume mwenzangu unayeishi mbali na mkeo, unakijua kinachoendelea kwa mkeo?

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
1,823
2,000
Buda nipo kamili kwenye viunga vya kutafutia pesa nikiwa timamu.

Buda sina stress hivyo sina Sonoma (stress vs sonona = Cause and Effect relationship).

Buda ni wengi walioghairi kuoa wakina hDangote wenye pesa zao hawataki kuoa.
Hivi bill gate nae anaweza kuwa na stress na kupata sonona kwasababu ya mkewe kuachana?

Buda mtu akikikataa unachoamini wewe ni sahihi HANA KASORO ila ni MAWAZO TU MKO TOFAUTI.

Any way Niko Mbeya wiki hii, karibu MBEYA CARNIVAL tupige bia tule mbususu za kinyakyusa.

This is life LIVE IT.

#YNWA
Pamoja Buda nikifika mbeya nitakucheck....
 

Sir Midabwada

JF-Expert Member
Sep 27, 2020
969
1,000
Usikataz wanaume kuoa mzee sabab hizo za mkeo kunyandulia kawaida tu tena mda mwingine hata na ndugu zako. Oeni mambo mengine mtayakuta tu tena yanasovika na maisha mengine yanaendlea tu
OENI
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom