Nimecheka Hali!!
Kumbe sie hatoelewi sababu ya wauza vyakula?
Na wengine wanaolewa kwajili ya kuwa wapishi tu,sio upendo?

Haya vipi madobi na dada poa?
Kuna dada m'moja alikuwa mfua nguo, ana mtoto m'moja akawa anapitia nguo za wateja na kufua.

Kuna mshikaji akataka huduma zaidi, akataka na kupikiwa na kufanya usafi wa ndani jambo ambalo bi dada alikubali akawa anampikia chakula cha jioni na kumfanyia usafi.

Mwisho wa siku jamaa alihama pale akahamia sehemu nyingine. Cha ajabu yule dada akawa haonekani tena kufanya kazi za kufua za wakazi wa mitaa ile.

Sasa story iliyokuja ni kwamba jamaa aliamua kuchukua mwanamke jumla na mtoto wake akaenda kumuoa na ana ujauzito. Wadau walimuona kata nyingine huko yupo kwenye duka la jamaa ambalo alifungua ndio mkewe anakaba maokoto hapo asizunguke na mambo ya kufuliana na raia.
 
Kama mimi napenda nikiwa naoa niwe fully organised nyumba,gari n.k.

Kama yupo anayesema tutavipata tukiwa wote karibu tuanze kuijenga family. Kikubwa nitamheshimu na kumpenda.
Wewe sio kazi yako kuheshimu unatakiwa kusema kupenda tu. Unajua maana ya kuheshimu tafsiri yake kwa mwanaume?
 
Baraka ya kuzulumiwa?

#YNWA
MR. KATAA NDOA nakuunga mkono kwnye hii kampen japo nimeoa na nina watoto wa 2....wote below 5yrs.....kuna ishu (alibahatika kuona sms za mchepuko wng, tena zikiashiria ana ujauzo wang, which is true) itliokea juz Kat,wife akadai anataka tuachane......ila nikatumia janja nying ila ishu iishe ili tulee watoto (japo nilikuwa tayar hata tungeachana) ......maendeleo ya watoto ndio kipngele sabab sitaki kuwaacha wakiwa wadogo hvyo........

NB. Ndoa ina 5yrs .........nko 34yrs, she 30

Je kwnye kipengele hcho ww ungefanya nn Mr. Kataa ndoa?!?!
 
Kuna dada m'moja alikuwa mfua nguo, ana mtoto m'moja akawa anapitia nguo za wateja na kufua.

Kuna mshikaji akataka huduma zaidi, akataka na kupikiwa na kufanya usafi wa ndani jambo ambalo bi dada alikubali akawa anampikia chakula cha jioni na kumfanyia usafi.

Mwisho wa siku jamaa alihama pale akahamia sehemu nyingine. Cha ajabu yule dada akawa haonekani tena kufanya kazi za kufua za wakazi wa mitaa ile.

Sasa story iliyokuja ni kwamba jamaa aliamua kuchukua mwanamke jumla na mtoto wake akaenda kumuoa na ana ujauzito. Wadau walimuona kata nyingine huko yupo kwenye duka la jamaa ambalo alifungua ndio mkewe anakaba maokoto hapo asizunguke na mambo ya kufuliana na raia.
Imekaa vizuri hiyo
 
MR. KATAA NDOA nakuunga mkono kwnye hii kampen japo nimeoa na nina watoto wa 2....wote below 5yrs.....kuna ishu (alibahatika kuona sms za mchepuko wng, tena zikiashiria ana ujauzo wang, which is true) itliokea juz Kat,wife akadai anataka tuachane......ila nikatumia janja nying ila ishu iishe ili tulee watoto (japo nilikuwa tayar hata tungeachana) ......maendeleo ya watoto ndio kipngele sabab sitaki kuwaacha wakiwa wadogo hvyo........

NB. Ndoa ina 5yrs .........nko 34yrs, she 30

Je kwnye kipengele hcho ww ungefanya nn Mr. Kataa ndoa?!?!
Kwa mustakabali wa watoto,
Bora kuvumilia japo mauvumilivu yasilete mateso.

#YNWA
 
Back
Top Bottom