Si kweli Mzungu ana akili kuliko mtu Mweusi

anti-negative energy

Senior Member
Apr 13, 2019
114
71
Hivi kwanini watu weusi mnajidharau sana, hivi leo hii ukizaa mtoto wako na ukaanza kumfundisha mzungu ni bora kuliko wewe unamtengenezea future gani, wenda ungempa ujasiri angeweza kuitawala dunia na kuwa prove wrong wazungu, nimesoma comments nyingi kwenye uzi mmoja umeandikwa "je mzungu ana akili kuliko mtu mweusi?" Majibu ya watu wengi yamenisikitisha sana jinsi Waafrika tunavojidharau, kuna kazi kubwa sana ya kubadilisha mitazamo ya waafrika especially watanzania otherwise tutaendelea kutawaliwa, just imagine mzungu anasoma comment zako na unaandika comment za kujishusha thamani tena kwa madaha na kufurahi.

Nahisi hawa ndiyo wakikutana na wazungu wanachekacheka badala ya kuconcetrate kwe conversation na mwisho wa siku wana sign contract ambazo hawazielewi kisa tu kumuona mzungu kama Mungu, na wakati ni watu wa kawaida tu. Na yawezekana kabisa ukawa unamzidi hadi intelligence bila ww kujua kama unamzidi kutokana na imani potofu.

Binafsi nimegundua watu wengi wanajudge akili kutokana na standard za waliowachapa viboko (wazungu).

Kumbukeni utumwa ni coincidence tu, lakini intelligence ya mtu mmoja mmoja ni kitu kingine kabisa, watu weusi wafanya vitu vingi sana lakini dunia haijawahi kuappriciate, why? Na bila shaka hao wote wanaotoa negative comment kuhusu mtu mweusi wapo inferior na mpo weak nyie kama nyie na sio mtu mweusi. Intelligence has nothing to do with colour. Mkienda kusoma na kuspecialize katika psychology mtajua naongelea nini.

Any body can climb to the top amd reach the highest dream of power, colour is nothing but colour.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha tujipe moyo ila ukweli upo wazi wametuzidi. Nikipata mtoto siitaji kumwambia mzungu katuzidi yeye mwenyewe tu ataona na atajua ukweli bila hata kuambiwa.

At micro level (ukijifananisha na mtu momoja mmoja inawezekana ukukutana na mzungu uliemzidi) ila at macro level (kwa ujumla) hawa jamaa wametuzidi mbali sana hili halina ubishi.
 
Kukubaliana na ukweli ni moja ya hatua kubwa kuelekea mabadiliko.

Wazungu wako mbali, tukubali ili tuone tunatokaje hapa. Kuishi kwa Kujitia Matumaini Hewa hakutusaidii.

Unafiki na utamaduni wetu (Mostly) ndio vinaturudisha nyuma
 
We jamaa hebu funga macho hapo alafu fikiria wazungu wanaunda ndege kubwa (Airbus A380), fikiria aliyegundua computer na mtandao hadi sisi tunawasiliana hivi JF na mengine ya mzungu alafu fikiria sisi tunatekana wasiojulikana, sisi tukichaguliwa uongozi unazuia wenzako marufuku kufanya siasa wakati wewe unafanya, sisi kuna kiongozi analipwa mshahara fresh kabisa alafu katika idara yake watoto wanakaa chini darasani, kuna kiongozi anapigwa risasi akitoka kazini bungeni alafu nchii kama nchi wanasema hakuna kufanya uchunguzi wa kina. We jamaa hebu fikiria alafu uandike upya uzi wako.
 
Umekuja kulifedhehesha jukwaa! Inaonekana hata ile mada haukuielewa! Tunamuangalia mzungu na muafrika ktk mtizamo wa akili na akili inapimwa kwa matokeo.

Unahitaji nini kuona wanzungu wako juu kiakili kushinda sisi? Angalia vitu wanavyofanya pima na sisi utaona matokeo! Hata kwa asilimia nyingi tumerithi vitu vingi tokea kwao technology, money economy, kilimo Cha kisasa, maswala ya afya, uongozi n.k

Sio kwamba waafrika hatuwezi ila kiwango chetu cha akili kinaonekana kipo chini ukilinganisha na wazungu,huo ndio ukweli na si utumwa.. hayo ma standing gauge,umeme yaliletwa na uchawi wa kiafrika? Hiyo mizimu ya mababu imefanya nini cha maana kukufanikisha ktk uchumi, kisiasa na kijamii?

Umekuja kuthibitisha kuwa wazungu wanatuzidi kweli akili maana hata ukweli unaonekana unaupinga!
 
Acha tujipe moyo ila ukweli upo wazi wametuzidi.
Nikipata mtoto siitaji kumwambia mzungu katuzidi yeye mwenyewe tu ataona na atajua ukweli bila hata kuambiwa.
At micro level (ukijifananisha na mtu momoja mmoja inawezekana ukukutana na mzungu uliemzidi) ila at macro level (kwa ujumla) hawa jamaa wametuzidi mbali sana hili halina ubishi.
utazidi kua mtumwa
 
Umekuja kulifedhehesha jukwaa! Inaonekana hata ile mada haukuielewa!
Tunamuangalia mzungu na muafrika ktk mtizamo wa akili.. na akili inapimwa kwa matokeo.
Unahitaji nini kuona wanzungu wako juu kiakili kushinda sisi..? Angalia vitu wanavyofanya pima na sisi utaona matokeo! Hata kwa asilimia nyingi tumerithi vitu vingi tokea kwao technology, money economy,kilimo Cha kisasa,maswala ya afya, uongozi n.k
Sio kwamba waafrika hatuwezi ila kiwango chetu cha akili kinaonekana kipo chini ukilinganisha na wazungu,huo ndio ukweli na si utumwa.. hayo ma standing gauge,umeme yaliletwa na uchawi wa kiafrika..?
Hiyo mizimu ya mababu imefanya nini cha maana kukufanikisha ktk uchumi, kisiasa na kijamii..?

Umekuja kuthibitisha kuwa wazungu wanatuzidi kweli akili maana hata ukweli unaonekana unaupinga!
we jamaa unahitaji brain wash, upo weak kwa maana ya kujidharau. bila shaka nafikiri ukimuona mzungu yeyote utakua unahisi anahisi anakuzidi nakili, hii ni mbaya sana kama una malengo ya kufanikiwa katika mambo makubwa. utawapa credit wazungu mpaka unakufa. huna utofauti na 'uncle tom" yani mtu mweusi anaye muoina mtesa wake kama mungu na kumu defend kwa kila kitu
 
Huo ndio ukweli mkuu, wala tusipepese macho, uwezo wa ki akili wa mzungu ni mkubwa sana kulinganisha na mweusi!! Toka dunia imeumbwa, na hata ukiangalia kwenye siasa tu, viongozi wetu wanaona kabisa kuwa wanaongoza MISUKULE, ndio maana wanafanya mambo ya ajabu, kwa raia wao lakini, hao raia wanaona sawa!! Hadi wazungu wanashangaa hee, inakuwaje hii??? Bado kwenye sayansi, huko ndiko huwezi sema kitu, MWAFRIKA BILA MZUNGU HAKUNA MAISHA!!
 
Haya

Watu wengine usijisumbue kuwajibu waache watape na madukuduku yao! Yeye anafikiri kuandika mzungu katuzidi akili ni kujidharau!! Wakati vitu vinaonekana kabisa!..
 
Akili haipimwi Kwa porojobali matunda ya hiyo akili.
Akili za muafrika ni nyingi Lkn hazijatumika kuleta matunda (Virgin Brains)
 
hadi hivi sasa matokeo yapo whites 100 vs blacks 1 japo ni ngumu kuukubali ukweli huu ila hatuna budi kukubali kuwa siye watu weusi tuna ubinafsi wa hali juu sana na kubaguana sisi KWA sisi, mzungu ana uzarendo kuanzia kwake mwenyewe hadi kwa wanyama wanaomzunguka..tofauti na waafrica kabisa.

WEWE JE NI MZALENDO? UKITAKA KUMHUKUMU MTU MWEUSI, JIANGALIE KWANZA WW, JE NI KWELI WEWE HUNA AKILI? USIMHUKUMU MWAFRIKA MWENZAKO KWA SABABU NA WW NI MUAFRIKA. HAYA HEBU JIULIZE, JE WEWE KAMA WEWE HAUNA UZALENDO? NA JE WEWE KAMA WEWE HUJIELEWI. KAMA UNAHISI WEWE NI MORON, BUT WW UTAENDELEA KUWA MTUMWA WA KIFIKRA. NA MZUNGU ANACHOKIFANYA SA HIVI HAKUCHAPI VIBOKO, ANACHOKIFANYA ANAKUBRAIN WASH MPAKA UJIDHARAU.
USHAURI: UKIZAA MTOTO WAKO USIJE UKAMFUNDISHA HUO UJINGA, MPE MISINGI YA KUJIAMINI NA UTAONA MAAJABU.
 
Ili hoja yako ikae vizuri ungeweka angalau vitu vichache vya kuchangia kuboresha maisha ya binadamu walivyofanya watu weusi hususani wanaoishi barani Afrika.Vingenevyo ulichoandika hapa ni porojo tupu na ulalamishi usio na mantiki yoyote ambao unatakiwa upuuzwe tu.
Hivi kwanini watu weusi mnajidharau sana, hivi leo hii ukizaa mtoto wako na ukaanza kumfundisha mzungu ni bora kuliko wewe unamtengenezea future gani, wenda ungempa ujasiri angeweza kuitawala dunia na kuwa prove wrong wazungu, nimesoma comments nyingi kwenye uzi mmoja umeandikwa "je mzungu ana akili kuliko mtu mweusi?" Majibu ya watu wengi yamenisikitisha sana jinsi Waafrika tunavojidharau, kuna kazi kubwa sana ya kubadilisha mitazamo ya waafrika especially watanzania otherwise tutaendelea kutawaliwa, just imagine mzungu anasoma comment zako na unaandika comment za kujishusha thamani tena kwa madaha na kufurahi.

Nahisi hawa ndiyo wakikutana na wazungu wanachekacheka badala ya kuconcetrate kwe conversation na mwisho wa siku wana sign contract ambazo hawazielewi kisa tu kumuona mzungu kama Mungu, na wakati ni watu wa kawaida tu. Na yawezekana kabisa ukawa unamzidi hadi intelligence bila ww kujua kama unamzidi kutokana na imani potofu.

Binafsi nimegundua watu wengi wanajudge akili kutokana na standard za waliowachapa viboko (wazungu).

Kumbukeni utumwa ni coincidence tu, lakini intelligence ya mtu mmoja mmoja ni kitu kingine kabisa, watu weusi wafanya vitu vingi sana lakini dunia haijawahi kuappriciate, why? Na bila shaka hao wote wanaotoa negative comment kuhusu mtu mweusi wapo inferior na mpo weak nyie kama nyie na sio mtu mweusi. Intelligence has nothing to do with colour. Mkienda kusoma na kuspecialize katika psychology mtajua naongelea nini.

Any body can climb to the top amd reach the highest dream of power, colour is nothing but colour.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika gani Mwafrika ana akili nyingi kama hazijaleta matunda?

Sent using Jamii Forums mobile app
UNAJUA WEWE UNA MJUDGE MWAFRIKA KAMA GROUP LA WATU, HAPO UNAKUA UNAKOSEA. PIA TUNAKOSEA KUWATATHMINI WAZUNGU KAMA GROUP, KWA SABABU SI KWELI WAZUNGU WOTE WAKO BRIGHT, KUNA WAZUNGU WAJINGA, LAKINI UKIJA KWENYE SIFA WANAPATA WOTE, PIA KUNA WAAFRIKA WANA AKILI SANA NA NIWAVUMBUZI NA MAISHA YAO WAMEYATENGENEZA KULIKO UNAVOFIKIRI LAKINI UKIJA KWENYE SIFA MBAYA UNATAKA UMJUMLISHIE HUMO HUMO. MHUKUMU MTU YEYE KAMA YEYE NA SIO RANGI, SABABU WAPUMBAVU WANAPATIKANA KATIKA MAGROUP YOTE.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom