Si kweli kwamba mfumo wa vyama vingi uliridhiwa na watanzania

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Kuna upotoshaji mkubwa unaenezwa eti mfumo wa vyama vingi ni lidhio la waTz;si kweli!

Raia wengi wa nchi hii walipiga kura ya kuendelea na mfumo wa chama kimoja.Ni fadhila tu za baba wa Taifa Mwl Nyerere aliposhauli tuwe na mfumo wa vyama vingi.

Kwa hiyo hizo ni fadhila na hakuna no inayoonyesha nchi hii na wananchi wake walilidhia jambo hilo.

Lkn no zipo zioneshazo wa Tz hawakutaka mfumo wa vyama vingi.
 
Kwahiyo ndo maana mmeamua kuwapiga risasi wapinzani kwa kuwa watanzania hawakuridhia vyama vingi ee! Mungu anawaona ninyi mnaojifanya mna hati miliki ya nchi hii kuliko wengine
 
Kuna upotoshaji mkubwa unaenezwa eti mfumo wa vyama vingi ni lidhio la waTz;si kweli!

Raia wengi wa nchi hii walipiga kura ya kuendelea na mfumo wa chama kimoja.Ni fadhila tu za baba wa Taifa Mwl Nyerere aliposhauli tuwe na mfumo wa vyama vingi.

Kwa hiyo hizo ni fadhila na hakuna no inayoonyesha nchi hii na wananchi wake walilidhia jambo hilo.

Lkn no zipo zioneshazo wa Tz hawakutaka mfumo wa vyama vingi.
nchii imejaa mazwazwa, mwaka 2015 NEC ilitoa matokea ya uchaguzi mkuu ingawa Yalichakachuliwa CCm 59% opposition 41%, nimekutafunia jenga hoja kuanzia hapo
 
Back
Top Bottom