Si kwamba wanaoshabikiwa wana uwezo mkubwa sana, bali ni matokeo ya wananchi kukata tamaa na utawala uliopo. Serikali ya awamu ya tano imechokwa,

Uzuri naishi Tanzania na naamini tunaolalamika huku jf ni sisi sisi na niwalewale watanzania ninaokulanao chakula, ninaokutananao barabarani ,ninaofanyanao kazi kilaa siku, niliosomanao na ni walewale wavivu wa kufikiria na elimu zetu zisizotusaidia wenye ushabiki wa vyama tukiamin chama ndio kitaleta maendeleo kuliko mtu safi yani tunajijua vizuri japo sio wote ila tuliowengi endelea kulalamik pasip kuwaz cha kufany mkuu msubiri membe 2020 akupe maisha mazuri
 
Kinachoniuma mimi ni kuzuia mafao tu
Nyie ndiyo wale wa

First they came for wapinzani ukasema hayanihusu!

Second they came for watumishi, ukasema shauri yao!

Thirdly they came for wanahabari, ukasema wakome!

Sasa wamekuja kwao na hakuna wa kukutetea!

Koma kwa unafiki wako...........
 
Back
Top Bottom