james bendui
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 547
- 472
Uzuri naishi Tanzania na naamini tunaolalamika huku jf ni sisi sisi na niwalewale watanzania ninaokulanao chakula, ninaokutananao barabarani ,ninaofanyanao kazi kilaa siku, niliosomanao na ni walewale wavivu wa kufikiria na elimu zetu zisizotusaidia wenye ushabiki wa vyama tukiamin chama ndio kitaleta maendeleo kuliko mtu safi yani tunajijua vizuri japo sio wote ila tuliowengi endelea kulalamik pasip kuwaz cha kufany mkuu msubiri membe 2020 akupe maisha mazuri