Si kila teuzi ni za kukubali, nyingine ni za 'kimkakati' ili kukumaliza kisiasa au kwa kuwa tishio kwa mwenye tamaa ya Urais

Na Siku zote Mwanasiasa makini na mjanja hupenda sana kuwateua watu anaowaona ama ni Tishio Kwake au wanaitaka Nafasi yake kwa Udi na Uvumba ili awamalize vizuri Kisiasa kwa kuwapigisha 'Shoti' katika Nafasi zao ili awatumbue, awachafue na waonekane hawafai kuwa Viongozi na ikibidi hata Wapuuzwe na Wadharaulike na Wananchi.

Kama kuna Wizara ambayo ukisikia umeteuliwa usiikubali Kwanza bali tuliza Akili yako Kuikubali na kama ukiwa na Akili sawa sawa na unajitambua ikatae ni ya Taa na Mwendo wa Nyenzo Tanzania kwani ni Wizara Maalum ya Mtego na Kummaliza Adui Tishio wa Kutamani kuishi Magogoni na Chamwino.
Vipi kuhusu wizara ya polisi na, zimamoto na wahamiaji haramu mkuu
 
Back
Top Bottom