Si huwa mnasema wanasheria wa serikali ni wachovu, mbona bado mnahenya kwenye kesi ya Lema?

Mtimbo

JF-Expert Member
Jan 18, 2012
1,392
796
Kwa mda mrefu kumekuwa na dharau na kejeli zisizo mithilika kwa wanasheria wa serikali kuhusu uwezo wao.

Kwa upande mwingine kumekuwa zikitolewa sifa zilizopitiliza kwa mawakili na hasa hawa mawakili wa CHADEMA kama wao ni wajuvi sana wa maswala ya sheria

Sasa kwenye hili sakata la Lema wanasheria wa serikali wameamua kuwaonyesha kwamba mambo ya sheria wanayajua sema tu huwa wana amua tu kuwalegezea

Naona sasa wiki ya tatu hii linalojiita Jopo la mawakili wa CHADEMA wanaendelea kusugua gaga na matokeo bado bilabila.

Kulikoni? Vipi bado wansheria wa serikali ni wadhaifu?
 
Unaongelea hawa mawakili vilaza, au hawa mawakili waliokuwa wanaitetea tanesco!? Vp wale waliomshtaki mpemba wa tembo? Amini ni vilaza na hawana meno zaidi ya kusubiri maelezo kutoka mbinguni kwa malaika"
 
Sawa hawa vilaza wanawaonesha ukilaza wao, ndugu yenu anarudi tena lupango

Utoto unakusumbua nani kakwambia kinachosababisha Lema asipewe dhamana ni kwa sababu wanasheria wa serikali wanasimamia sheria? kinachosababisha Lema asipewe dhamana ni uvunjifu wa sheria maana hiyo kesi ya kuota ndoto haipo kisheria ni sawasawa na kumshitaki mtu mahakamani kwamba amekuloga
 
Kwa mda mrefu kumekuwa na dharau na kejeli zisizo mithilika kwa wanasheria wa serikali kuhusu uwezo wao.

Kwa upande mwingine kumekuwa zikitolewa sifa zilizopitiliza kwa mawakili na hasa hawa mawakili wa CHADEMA kama wao ni wajuvi sana wa maswala ya sheria

Sasa kwenye hili sakata la Lema wanasheria wa serikali wameamua kuwaonyesha kwamba mambo ya sheria wanayajua sema tu huwa wana amua tu kuwalegezea

Naona sasa wiki ya tatu hii linalojiita Jopo la mawakili wa CHADEMA wanaendelea kusugua gaga na matokeo bado bilabila.

Kulikoni? Vipi bado wansheria wa serikali ni wadhaifu?
ni kwasababu wanapindisha sheria ili asipate dhamana..........
 
ndo maan
Mawakili wenu walikuwa hawajui wapi wakakate rufaa, rejea walichoambiwa na hakimu.

Ndio sasa wanakurupuka kwenda kukata rufaa kwa hati ya dharula
ndo maana wapo hapo.......... walipo na ni moja ya kazi zao
 
Back
Top Bottom